Kwa hiyo unamkubali Lema?Fafanua vizuri hoja yako ueleweke ikiwezekana taja na hizo wizara, Lema alisema dhambi mbaya kuliko zote duniani ni uoga, acha uoga wewe!
Kwa hiyo unamkubali Lema?
Kwa hiyo unamkubali Lema?
Labda niseme hivi kuna utaratibu umetokea baada ya tume kutangaza uhakiki watu wameenda kuakiki kwenye ofisi za kata na wale ambao taarifa zao zinaitaji marekebisho wanaambiwa waache Card zao mpaka watakapoleta bvr na zimekusanywa nyingi adi 1/9/2015 kinyume na tume walivyotangaza kuwa watafanyiwa marekebisho papo hapo, ili ni vyema tume ikalitolea ufafanuzi.