Ujumbe umewafikia walio mindsGood morning Africaaaa........., ahaa ahaaa ahhhhaaaa... mbavu zangu kumbe huu uzi uliuma watu kiasi hiki?
shida iko wapi? wacha nile kitu roho inapenda babu,
Huyu mwanaume mimi ndo nitaenda kuishi naeeeee, kulala naeee kitanda kimojaa na sio wewe mpiga makelele, wacha nichague kitu roho inataka bana.
wanaume mko selfish, mbona nyie mnachagua? mtu ukienda dukani utanunua nguo ambayo huipendi? utaivaa wapi?
Yaani niolewe na mwanaume, nisiempenda nikiona wanaume wa mashoga zangu nianze kuwatamani? really? this is crazy, yaani niolewe na mwanaume akiingia tu ndani mimi naingia jf kuchart?. wacheni unafiki tafuten vitu roho inapenda.
ahaaa eti ukute mimi flat screen, mbavu zangu, ulishawahi kuona wapi mwanaume, wa maana anaejitambua anaoa mwanamke matako nakubwaaaa?, kama shida ni mavyuraa wanawake wa insta , akina wema wote wangekuwa wameolewa. hawa kazi yao ni kuigiza tuwaone kwenye video etc. ila ukitaka unachukua hakuna kizuizi.
mwanaume niliemtaja anataka ka mwili "kawastani" kama kangu bana ka portable kakubeba mfukoni mvua ikinyesha bana.
note; ushauri kwa wadada, usifanye maamuzi kuwafurahisha watu, fanya kitu roho inapenda, usiolewe kisa classmates wako wote wameolewa, ukakurupuka kuolewa na mtu usiempenda, kuwafurahisha mashoga zako, baada ya mwaka ndoa ikakushinda. Olewa na mtu mkiwa wote ni full burudani, mnacheka mnacheza kama watoto, hayo ndio maisha vingine ni bonus.
Kosea kujenja, utabomoa ujenge tena ila sio ndoa.
Good day.
Inna Morata.
Baada ya intavyuu Kali na mchujo wa hatari, hajaleta tena mrejeshoHahahahaha sijui alimpata au aliishia kupata wapigaji?
Hili ni neno LA siku. Aamen!Good morning Africaaaa........., ahaa ahaaa ahhhhaaaa... mbavu zangu kumbe huu uzi uliuma watu kiasi hiki?
shida iko wapi? wacha nile kitu roho inapenda babu,
Huyu mwanaume mimi ndo nitaenda kuishi naeeeee, kulala naeee kitanda kimojaa na sio wewe mpiga makelele, wacha nichague kitu roho inataka bana.
wanaume mko selfish, mbona nyie mnachagua? mtu ukienda dukani utanunua nguo ambayo huipendi? utaivaa wapi?
Yaani niolewe na mwanaume, nisiempenda nikiona wanaume wa mashoga zangu nianze kuwatamani? really? this is crazy, yaani niolewe na mwanaume akiingia tu ndani mimi naingia jf kuchart?. wacheni unafiki tafuten vitu roho inapenda.
ahaaa eti ukute mimi flat screen, mbavu zangu, ulishawahi kuona wapi mwanaume, wa maana anaejitambua anaoa mwanamke matako nakubwaaaa?, kama shida ni mavyuraa wanawake wa insta , akina wema wote wangekuwa wameolewa. hawa kazi yao ni kuigiza tuwaone kwenye video etc. ila ukitaka unachukua hakuna kizuizi.
mwanaume niliemtaja anataka ka mwili "kawastani" kama kangu bana ka portable kakubeba mfukoni mvua ikinyesha bana.
note; ushauri kwa wadada, usifanye maamuzi kuwafurahisha watu, fanya kitu roho inapenda, usiolewe kisa classmates wako wote wameolewa, ukakurupuka kuolewa na mtu usiempenda, kuwafurahisha mashoga zako, baada ya mwaka ndoa ikakushinda. Olewa na mtu mkiwa wote ni full burudani, mnacheka mnacheza kama watoto, hayo ndio maisha vingine ni bonus.
Kosea kujenja, utabomoa ujenge tena ila sio ndoa.
N.B Naantombe mushi, nakushukuru kwa kuupa uzi wangu shavu. wewe na wale wanaonichamba hapa nawashukuru sana maana najua mnanichamba hapa tu mkija PM mna adabu zote. Nawapenda sana.
Good day.
Inna Morata.
Huku uchagani hatuna majina ya 'Atuganile' lazima utakua chotaraUjumbe wangu kwake binadamu hujafa hujaumbika!!
mrejesho hauna limit anytime nitaletaBaada ya intavyuu Kali na mchujo wa hatari, hajaleta tena mrejesho
Nusu ya watanzania ni machotara. wachache waliobaki ndo walibahatika kuzaliwa na wazazi wa kabila moja! Hata wewe inawezekana ni chotara mwenzanguHuku uchagani hatuna majina ya 'Atuganile' lazima utakua chotara
Hii inavumilika IF AND ONLY IF UNA ZAWADI YA KUDUMU!!Serious wanachagua sana kama huna meno hata namba hachukui,kama una matege imekula kwako,una flat screen ndo kabisa,sasa yote kwa yote usiombe ufanane sura na baba
sawa, hebu tukutane PM tujadili suala hili kwa kina, inawezekana tukawa majirani pale sanya juu au Boma..Nusu ya watanzania ni machotara. wachache waliobaki ndo walibahatika kuzaliwa na wazazi wa kabila moja! Hata wewe inawezekana ni chotara mwenzangu
Kuna shida gani mtu akitaka kile anachokipenda, Mbona mkienda kununua nyanya hamzoi tu bali mnachagua mnakua mmeziumba nyie hizo nyanya??
Live your Life Man.
unaona sasa kwa hiyo bila zawadi ya kudumu hafai.Sasa si ubaguzi huu?Hii inavumilika IF AND ONLY IF UNA ZAWADI YA KUDUMU!!
Kama tumekaa na rafiki zangu nikiona wanaangaliana kwa zamu kujadili sura yako kama babaako nakwambia ''Baby hebu simama shemeji zako wakuone!!'' ili kuwaziba mdogo wakiona msambwanda!
sio hafai......wengine wanafaa kwa matumiz yote,'ya nje na ya ndani'...if u digunaona sasa kwa hiyo bila zawadi ya kudumu hafai.Sasa si ubaguzi huu?
Nyanya sio sawa na binadamu.. usijeukasema tu kuuza nyanya = kuuza papuchi maana vyote vina bei..... hivi bado hujaona tatizo hapo?Kuna shida gani mtu akitaka kile anachokipenda, Mbona mkienda kununua nyanya hamzoi tu bali mnachagua mnakua mmeziumba nyie hizo nyanya??
Live your Life Man.
Narudia tena na tena, bila suala la flat screen kutolewa ufafanuzi vizur mimi PM siji ngóoo... Nadhani unaelewa vema principle ya 'QUID PRO QUO' maana yake ni 'GIVE AND RECEIVE' .. Sasa wewe unataka kuthibitishiwa vigezo vya wanaume kama vipo halafu wewe vya kwako huviweki wazi.. Uoni kama kuwa kwako kimya kuna sababisha imbalance?****** najua mnanichamba hapa tu mkija PM mna adabu zote. *****
Good day.
Inna Morata.