Ukumbusho

Ukumbusho

saddyy

Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
58
Reaction score
54
Ndege anapokua hai huwa anakula sana wadudu, lakini anapokufa wadudu humla yeye maisha yanabadilika kila wakati, kwa hiyo usimdharau wala kumuumiza mtu yoyote katika maisha yako, unaweza ukawa imara sana.

Lakini kumbuka dunia ni imara kuliko wewe, mt mmoja unaweza ukatengeneza mamilion ya njiti za kibiriti lakini muda ukifika njiti moja tu ya kibiriti inaweza ikachoma msitu mzima, hivyo kuwa mwema kwa kila mtu.
 
Back
Top Bottom