Ukumbi wa kukodi unahitajika

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Ndugu zangu Tunsifu Yesu Kristu, Bwana Yesu asifiwe, Asalaam Aleykum, habari zenu nyote, narafuta ukumbi wa kukodisha unaoweza kubeba watu 100-200 uwe na mazingira mazuri ya kujisitiri (vyoo), pia usiwe katikati ya mkusanyiko au makazi ya watu yaani uwe pembeni kidogo na makazi ya watu wengi. Maeneo elekezi ni Mbagala,Kongowe,Mabibo,Sinza, Mtoni, Gongo la mboto.n.k
NB: Uwe ndani ya mkoa wa dsm na sio nje sana.
Mwenye taarifa nijuze PM.
 
ukumbu? ndo nini shuka KWENYE bodaboda halafu andika kwa umakini mkuu
anyway kila la kheri wanakuja
 
Tulia basi uandike vizuri aueleweki au subiri pombe ikutoke uandike vizuri
 
Ndugu zangu Tunsifu Yesu Kristu, Bwana Yesu asifiwe, Asalaam Aleykum, habari zenu nyote, narafuta ukumbi wa kukodisha unaoweza kubeba watu 100-200 uwe na mazingira mazuri ya kujisitiri (vyoo), pia usiwe katikati ya mkusanyiko au makazi ya watu yaani uwe pembeni kidogo na makazi ya watu wengi. Maeneo elekezi ni Mbagala,Kongowe,Mabibo,Sinza, Mtoni, Gongo la mboto.n.k
NB: Uwe ndani ya mkoa wa dsm na sio nje sana.
Mwenye taarifa nijuze PM.
Weka namba nikusaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom