Ukumbi wa Ibada unahitajika

Ukumbi wa Ibada unahitajika

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
233
Reaction score
264
Habari zenu ndugu zangu wa Jamii forum, napenda kuwajulisha kuwa ukumbi wa ibada unahitajika DSM (Wa kukodishwa)
Kwa maeneo ya Kijitonyama,Mabibo, Kigogo, Boko-Bunju, Kongowe-Toangoma, n.k
Unaweza kuwa ukumbi au banda ambalo linaweza kukarabatiwa nablikafaa kw ibaada.
Simu:
0625568600

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom