Ukumbi unakodishwa Morovian Arusha

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Habari zenu,

Tuna kodisha kumbi mbili mpya hapa Morovian jirani na Mianzini trafic lights.Kumbi zetu ni nzuri kwa shughuli yeyote ya kijamii kama harusi,send off,ubarikio nkUkumbi wa kwanza una uwezo wa kuchukua watu walioketi zaidi ya mia mbili na wa pili una uwezo wa kuchukua watu arobaini hadi hamsini.

Huduma zote za ulinzi,parking,vyoo,umeme wa uhakika wa kawaida na genereta vinapatikana.

Bei: Ukumbi mkubwa LAKI SITA,ukumbi mdogo LAKI MBILI KWA SIKU MOJA.

Hizo bei hazijumlishi viti na meza.

Ukumbi utakuwa tayati kutumika kuanzia 01/07/2015

Mawasiliano ni PM
 
Unakodisha ukumbi bila viti na meza watu waje na viti vyao na meza zao au meza na viti vinakodishwa pia? Kweli tupo nyuma sana kwa advertisement .
 
uwezo wa kufikiri na kuelewa tupo tofauti.

Viti na Meza hatuna kwa sasa,kwa hiyo mtu anaweza kukodi toka kwa supply yeyote amjuaye.Ila baadaye tutakuwa na viti na meza zetu wenyewe.


Unakodisha ukumbi bila viti na meza watu waje na viti vyao na meza zao au meza na viti vinakodishwa pia? Kweli tupo nyuma sana kwa advertisement .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…