Ukubwa wa mtu

Ukubwa wa mtu

Peculiar

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
821
Reaction score
689
Waungwana tuambiane,

Hivi ukubwa wa mtu unapimwa kwa kuangalia nini?

-umri alionao?
-majukumu aliyonayo?
-mawazo aliyonayo?
-pesa aliyonayo?

Au nini?

Maana kila kila mtu siku hizi anajiona mkubwa!
 
Kwanza umri na uwezo wa kufikiri

Kuna wengine umri mkubwa,
Maneno yao mazuri.

Wavivu wa kazi,hawa taki majukumu,
Mambo yao ya kitoto toto.

Unakuta hata familia zao zinalelewa na watoto wao.

Yan mtoto akatafute ndio alete,wengine wale.

Sasa hao wengine ni wakubwa hapo?
 
Back
Top Bottom