Ukubwa wa maumbile ya sehem za siri

Qassim14

Senior Member
Oct 10, 2017
182
202
ahlan wa sahlan wakuu wote..
ni matumaini yangu mtakua wazima wote karibuni katika mada.nawasilisha

ni mbinu gani za kuzifuta katika ufanyaji mapenz na

1. mwanamke alie na kina kirefu akikutana na mwanaume mwenye uume mdogo kupita wastan wa kawaida. ( kwa niaba yangu.)


2. mwanaume alie na uume uliozidi wastan akikutana na mwanamke mwenye njia ndogo na kina kifupi? ( kwa niaba ya wanawake)

n.b.(.kwa anaehitaji kutoa msaada wa dhati na afunguke na kwa yule atakaeleta mzaha ama masihara na vinginevyo vitakavyonikera mm ama hata mwengine nishamsamehe kabisa.)
 
Back
Top Bottom