Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,194
- 4,116
Yawezekana humu tupo na majini na viumbe vya ajabu sana tunachangia navyo mawazoNingeweza kukusaidia Kma ningekuwa najulikana ila cjulikani...mimi ni kivuli tu...hata watu wengi humu ndo wanajua leo kwamba mimi ni kivuli
Nilikufa muda sana ila nina uwezo wa kukusaidia tatizo mwili sina.
Nawaza sana kukusaidia...
Nenda PCC Segerea ...nyuma ya Sheli ya Oilcom
Mullize Mchungaji Mmoja anaitwa Jonathani Shemuhambu
Ni bingwa wa kuombea wenye Magonjwa sugu...
Atakusaidia haraka nenda Jmos saa tatu asubuhi.
Sijui kma utawahi...
Ni kituo kimoja kabla ya Segerea mwisho.
Uelekeo wa seminar...
Ulizia bodaboda watakionesha.
Ukizidiwa tutafutane.....kule Tutakakokuelekeza....