Ukubwa au udogo wa kichwa una uhusiano gani na kiwango cha akili?

erique

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2010
Messages
550
Points
500

erique

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2010
550 500
Mm ktk research yangu ya muda mrefu lkn isiyo rasmi,vijana wengi waliokuwa wanasumbua sana darasani walikuwa na vichwa vikubwa hasa sehemu ya paji la uso..yani uwiano na wenye vichwa saizi ya kawaida au ndogo inaweza kuwa 7:3 au 70% kwa 30% .Kama unabisha kaangalie darasani kwako wale top 10 darasani kwenu alafu tupe mrejesho hapa jamvini...karibu
inawezekana kuna kuna ukweli fulani, mimi pia nakumbuka tangu shule ya msingi, na hata secondary wale waliokuwa wakifanya vizuri wengi wao walikuwa wana paji la uso kubwa.
 

wamba

Senior Member
Joined
Aug 19, 2009
Messages
173
Points
250

wamba

Senior Member
Joined Aug 19, 2009
173 250
kuna jarada moja nilisoma la neuroscience toka stanford university....lilielelezea the same question uhusiano wa ukubwa wa kichwa na iq ya mtu....jibu lake lilikua na utata sana kwani lilisema kua tembo na whale wanavichwa vikubwa lkn hawana akili kama mwanadamu alivyo...ingawa sometimes ni wastaarabu kuliko wanyama wengi...in short lile jarida hawakutoa jibu la moja kwa moja uhusiano uliopo baina ya ukubwa na iq ya mtu...mfano Einstein alikua na kichwa cha kawaida but iq yake ilikua kubwa...mimi naweza sema hivi vipaji wkt mwingine watu wanazaliwa navyo tu...ni nature ya mtu alivyoumbwa...vyakula vya mama wkt wa ujauzito pia inaweza changia mtoto kuzaliwa akiwa na akili sana au la...pia generation ktk koo fulani nayo inaweza changia watu kwenda hivyo kizazi kwa kizazi.
 

wamba

Senior Member
Joined
Aug 19, 2009
Messages
173
Points
250

wamba

Senior Member
Joined Aug 19, 2009
173 250
naungana mkono na baadhi ya watu wanaosema watu wenye kasoro fulani wanakua vichwa sana...mfano angalia movie ya "Accountant 2016" inaelezea hili jambo la watu wenye matatizo fulani lkn wanakua ni vichwa sn by nature
 

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
5,491
Points
2,000

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
5,491 2,000
tatizo sio ukubwa au udogo bali kichwa kilivyokaa i mean shape,kama huna kisogo utakuwa na akili kidogo,wenye chogo wana akili,kichwa kikubwa,komwe, macho madogo wengi ,matahira,
 

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Messages
6,119
Points
2,000

Titicomb

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2012
6,119 2,000
swala la mtu kuwa na akili nyingi lina uwanja mpana sana. kwa mfano vyakula malezi pamoja na mazingira. ila halihusiani na kuwa na kichwa kikubwa.

na ndio maana wahenga walisema ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
Wahenga wa kiswahili kwani wanajua neural science?

Kuna uwiano mkubwa sana wa ukubwa wa kichwa na ukubwa/ujazo wa ubongo, na ukubwa wa ubongo una uwiano mkubwa zaidi na akili (IQ) ya mtu husika.

Hapa hatusemi wale waliovimba vichwa kwa matatizo ya kiafya wakati wakiwa tumboni mwa mama zao. Wale matahaira au ubongo bumbuwazi sijui.
 

naumbu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
4,543
Points
2,000

naumbu

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
4,543 2,000
Huu ubishi unaweza kuisha kwa kumuangalia Le Kokobanga aka le akili kubwaaz kama SI unit ya watu wenye vichwa vikubwa
 

Forum statistics

Threads 1,343,286
Members 515,003
Posts 32,779,057
Top