mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nimesikia baadhi ya viongozi wetu wamekuwa wanaipigia chapuo Nchi ya Rwanda kuwa uchumi wa Rwanda unakuwa Kwa kasi hivyo ni mfano wa Tanzania kuiga.Ukweli sudhani kama in sahihi Kwa vigevyo vya kijografia Na raslimali za Tanzania.Uchumi wa Rwanda unategemea sana kilimo lakini Tanzania tuna vitu vingi sana kiasi ambacho tulitakiwa tutor misaada Kwa nchi ya Rwanda Nchi ambayo ni mkoa ktk Tanzania.Mie naona aibu sana Kwa viongozi wetu kuisifia Rwanda badala ya kujiuliza mbina Tanzania kama in kilimo INA mabonde mengi Na makubwa ya kilimo tunashindwa nini?