The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,175
- 10,654
Wakati Serikali za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania zinaenda kuwasikisha Mpango wake wa Bajeti ya mwaka 2024/25,,Benki ya Dunia WB imetoa makadiria ya Ukuaji wa Uchumi Kwa Nchi zote za Afrika Mashariki.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Washington na Taasisi hiyo ya Fedha ya Kimataifa inaonesha Rwanda itaongoza Kwa Ukuaji mkubwa wa Uchumi.
Msimamo wa Ligi ya Ukuaji wa kiuchumi Kwa Nchi za Afrika Mashariki(EAC) utakuwa ifuatavyo ,
1.Rwanda (7.6%)
2.Uganda/DRC Congo (6%)
3.Tanzania (5.4%)
4.Kenya(5%)
5.Burundi (3.8%)
6.Somalia (3.7%)
7.South Sudan (2%)
Taarifa kamili hii hapa Uganda to be 2nd fastest growing economy in EAC in 2024, says World Bank
My Take
Wakati Tanzania tumekwama kwenye rate ya 4-5.5% Kwa miaka 5 Sasa ,Uganda imekuwa very aggressive na kupindua meza.Maguta yakianza kutoka hawatakamatika tena.
Tanzania tupunguze mentality za ujamaa na kufanya Liberalisation ya Uchumi ikiwemo kuondokana na shrehold ya kupeg domestic inflation kwenye rates za 3-5%,Zinazuia Ukuaji wa harak wa Uchumi.
Hizo Nchi zote hapo Juu inflation rates zao Huwa kati ya 6-10% ndio Ina push bei na investments.
View: https://www.instagram.com/p/C8Jmf3Ste89/?igsh=MXI0MHVnamo1dWR1MQ==