Ukraine’s Leopard Tanks Are ‘Misfiring’; Ex-German Colonel Says

Anapigana na mataifa 30+ na anawatoa jasho
Putin alitakiwa ajifunze kwa vita ya kwanza ya dunia, ya pili na Great Depression.
Kwa dunia ya sasa mtu pekee anayeweza kukupiga na nchi isiingilie ni Marekani, uingereza na Israel tu.
Pale Palestina juzi wamekula kichapo hakuna hata nchi iliyoingilia, Libya akala kichapo cha nguvu, Sadam na Iraq hakuna nchi iliyoingilia, tena alinyongwa Marekani.
Anajua kabisa Ukraine ipo karibu na wakubwa. Unaanza kuipiga hivi hivi? Putin alikurupuka 100%, Wazungu washenzy sana huwa wanaamini katika muda. Putin ana miaka 20 akiwa kama raisi tena anataka kuongeza muda ila Marekani, muda huo ni maraisi wa wawili na bado Marekani ipo na nguvu zake pale pale.
China ameambiwa, akiipiga Taiwan msaada wa kivita unakuja ila yeye nchi ikiingilia kwenye mishe zake, anawekewa vikwazo.
Nataka Urusi na China wamuwekee vikwazo Marekani ha ha ha ha ha
 
Ameshajifunza na uamuzi alioufanya alishaupima kabla hajaingia kwenye (operation) maana hii sio vita bado
 
Hajawaona kwani ulitaka wavae bendera zao?

Silaha wanazotoa kama hizi leopard 2 ni made in Ukraine?
HIMARS
Armored vehicles
Nk
Kwanini asimuweke vikwazo Marekani vya kiuchumi? Ndiyo ujue kuwa Putin alikurupuka hii vita 100%, alitakiwa ajue hasara na faida ya vita, ajue idadi ya maadui zake, aangalie muda gani atatumia na matumizi yake ya kifedha kijeshi. Huu mwaka unaisha, ni mwezi wa 7 sasa ila naona vita kama ndiyo imeanza upya.
Ajifunze kwa Marekani kwa Iran na Afghanistan.
 
Ameshajifunza na uamuzi alioufanya alishaupima kabla hajaingia kwenye (operation) maana hii sio vita bado
Baada ya kushindwa vita, akaita operation kwa aibu ya kutoabika. Sasa hivi mpaka kawapa tenda Wagner
Unajua Wagner Group wanachukua kiasi gani cha hela kutoka kwa Putin?
 
Kwanini asimuweke vikwazo Marekani vya kiuchumi? Ndiyo ujue kuwa Putin alikurupuka hii vita 100%, alitakiwa ajue hasara na faida ya vita, ajue idadi ya maadui zake, aangalie muda gani atatumia na matumizi yake ya kifedha kijeshi. Huu mwaka unaisha, ni mwezi wa 7 sasa ila naona vita kama ndiyo imeanza upya.
Ajifunze kwa Marekani kwa Iran na Afghanistan.
Ukikua utaelewa 👇🏻👇🏻👇🏻

Impact of Russian sanctions on Europe and the West​

2 August 2022 by Tejvan Pettinger
In March 2022, the EU, US and other western countries introduced a range of sanctions on the Russian economy. These sanctions have hurt the Russian economy, but they are also causing unprecedented strain on the West and Europe in particular. The big economic threat to Europe involves:
  1. Higher inflation from rising energy prices
  2. Threat of running out of gas this winter
  3. Risk of recession
  4. Loss of investments in Russia
  5. Decline in exports to Russia
 
Baada ya kushindwa vita, akaita operation kwa aibu ya kutoabika. Sasa hivi mpaka kawapa tenda Wagner
Unajua Wagner Group wanachukua kiasi gani cha hela kutoka kwa Putin?
Shida unakaushabiki flani haikuwahi kuitwa VITA toka wawali
 
Siyo ushabiki. Huo ndiyo ukweli halisi, alianzisha vita baada ya kushindwa akaita operasheni ya kijeshi na alipoona hawezi kutoboa ikibidi awakodi Wagner group. Ni sawa na mtu aliyekuwa tajiri akifirisika hawezi kukubali kuwa ni maskini.
Unajua Wagner group wanalipwa shilingi ngapi? Unajua alichokifanya yule kiongozi wa Wagner group nchini urusi? huenda akakabiliwa na kesi ya uhaini. Na huyu ndiyo kiongozi anayejua mbinu nyingi sana za kivita.
Huu mchezo, wakubwa ndiyo wameucheza na Putin anaingia kwenye mtego bila yeye kujua. Na hayo ndiyo matokeo ya kukurupuka kuanzisha vita na mwisho wa siku unaita operesheni ya kijeshi kwa aibu.
Watu wanaoamini ujamaa (Socialism) hawana akili. Kwa akili yako unaweza kuanzisha operesheni ya kijeshi halafu ukaichukua Ukraine? hizi ni ndoto za mchana kabisa
 
Ukikua utaelewa 👇🏻👇🏻👇🏻

Impact of Russian sanctions on Europe and the West​

2 August 2022 by Tejvan Pettinger
In March 2022, the EU, US and other western countries introduced a range of sanctions on the Russian economy. These sanctions have hurt the Russian economy, but they are also causing unprecedented strain on the West and Europe in particular. The big economic threat to Europe involves:
  1. Higher inflation from rising energy prices
  2. Threat of running out of gas this winter
  3. Risk of recession
  4. Loss of investments in Russia
  5. Decline in exports to Russia
Najua wewe ni timu socialism. Wala siyo kwa ajili ya vikwazo, palipo na athari yoyote iwe ya kivita au magonjwa lazima yatokee hayo. Hata vita ya kwanza na ya pili ilileta athari hiyo
Kama nchi kubwa kama Urusi inawekewa vikwazo, ujue hiyo nchi haina tofauti na Tanzania. Ha ha ha ha ha
 
Putin alitakiwa ajifunze kwa vita ya kwanza ya dunia, ya pili na Great Depression.
Kwa dunia ya sasa mtu pekee anayeweza kukupiga na nchi isiingilie ni Marekani, uingereza na Israel tu.
Pale Palestina juzi wamekula kichapo hakuna hata nchi iliyoingilia, Libya akala kichapo cha nguvu, Sadam na Iraq hakuna nchi iliyoingilia, tena alinyongwa Marekani.
Anajua kabisa Ukraine ipo karibu na wakubwa. Unaanza kuipiga hivi hivi? Putin alikurupuka 100%, Wazungu washenzy sana huwa wanaamini katika muda. Putin ana miaka 20 akiwa kama raisi tena anataka kuongeza muda ila Marekani, muda huo ni maraisi wa wawili na bado Marekani ipo na nguvu zake pale pale.
China ameambiwa, akiipiga Taiwan msaada wa kivita unakuja ila yeye nchi ikiingilia kwenye mishe zake, anawekewa vikwazo.
Nataka Urusi na China wamuwekee vikwazo Marekani ha ha ha ha ha
Bado una utoto mwingi.
 
Haya wenye kuzitengeneza Leopard 11 wanakiri zimezidiwa njoo wale wa NATO wa Micheweni 😅😅😅😅😅😅

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

The much-anticipated deployment of Western-made tanks in Ukraine’s counteroffensive had sparked hopes of a game-changing advantage in the conflict.

However, the hopes were dampened on June 8 when a battlegroup unexpectedly encountered a perilous minefield south of Mala Tomachka in southern Ukraine’s Zaporizhzhia Oblast.

The Ukrainian brigades lost several of their most valuable vehicles, including a Leopard 2A6 tank, over twelve M-2 infantry fighting vehicles, and three Leopard 2R engineering vehicles.

Although the Western-supplied tanks and armored vehicles played a vital role in protecting Ukrainian crews, these valuable assets were abandoned, resulting in some operational combat vehicles falling into the Russian hands.

Shortly after the incident, the Russian Ministry of Defense made a video public showcasing what it claimed to be captured German-made Leopard 2 main battle tank and US-made M2 Bradley infantry fighting vehicles in Ukraine.

The released footage presented a more detailed view of the lost vehicles during the unsuccessful breaching operation, offering visual documentation of the aftermath of the failed counteroffensive mission

Mara kadhaa waNATO wamekiri kuwa Urusi imewazidi kwenye vita vya kielectronic. Wamefanikiwa kuzigonganisha droni zao na kuzizima HIMARS kwa kiwango kikubwa kiasi kwamba vita haviendi kwa matarajio kulingana na idadi za silaha zilizomiminwa Ukraine.
Sasa tusubiri kitachotokea kwa ndege za F16 siku Marekani kwa kukata kwake tamaa na kasi ya vita atakapoyakubali maombi ya muda mrefu ya Ukraine.
 
Popobawa akikugonga. Usipotangaza anakurudia tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 alisemaga Mwinyi
 
Mara kadhaa waNATO wamekiri kuwa Urusi imewazidi kwenye vita vya kielectronic. Wamefanikiwa kuzigonganisha droni zao na kuzizima HIMARS kwa kiwango kikubwa kiasi kwamba vita haviendi kwa matarajio kulingana na idadi za silaha zilizomiminwa Ukraine.
Sasa tusubiri kitachotokea kwa ndege za F16 siku Marekani kwa kukata kwake tamaa na kasi ya vita atakapoyakubali maombi ya muda mrefu ya Ukraine.
F16 ni aibu nyingine kwa US made kuna su27 ni balaa achana na 34,35 Na juendelea
 
Back
Top Bottom