Ukraine’s Leopard Tanks Are ‘Misfiring’; Ex-German Colonel Says

Ukraine’s Leopard Tanks Are ‘Misfiring’; Ex-German Colonel Says

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,708
Reaction score
35,719
Haya wenye kuzitengeneza Leopard 11 wanakiri zimezidiwa njoo wale wa NATO wa Micheweni 😅😅😅😅😅😅

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

The much-anticipated deployment of Western-made tanks in Ukraine’s counteroffensive had sparked hopes of a game-changing advantage in the conflict.

However, the hopes were dampened on June 8 when a battlegroup unexpectedly encountered a perilous minefield south of Mala Tomachka in southern Ukraine’s Zaporizhzhia Oblast.

The Ukrainian brigades lost several of their most valuable vehicles, including a Leopard 2A6 tank, over twelve M-2 infantry fighting vehicles, and three Leopard 2R engineering vehicles.

Although the Western-supplied tanks and armored vehicles played a vital role in protecting Ukrainian crews, these valuable assets were abandoned, resulting in some operational combat vehicles falling into the Russian hands.

Shortly after the incident, the Russian Ministry of Defense made a video public showcasing what it claimed to be captured German-made Leopard 2 main battle tank and US-made M2 Bradley infantry fighting vehicles in Ukraine.

The released footage presented a more detailed view of the lost vehicles during the unsuccessful breaching operation, offering visual documentation of the aftermath of the failed counteroffensive mission

Leopard imejipumzisha
 
Attachments

  • 20230705_141039.jpg
    20230705_141039.jpg
    87.3 KB · Views: 16
ni jamii ya blogs hizi taarifa hazipo kwenye media nyengine yoyote hadi sasa, ni propaganda at its best
Siku hizi hata aljazeera ambayo iliteea wapalestina saivi unaisikia?
 
ingia kwenye hio web uone mangapi Anti-Russia yanaandikwa
Mkuu, unajihangaisha bure. Hawa jamaa mie nilisha-conclude 100% kwamba hawajui kusoma. Nadhani huwa wanapost ^copycats^ ndiyo kazi waliyoajiriwa kwayo.

Siku kp kipanya44 na binamu yake umshana wakijua kusoma, wataicha hii ajira ya NATO asubuhi na mapema.
 
🫱🏻‍🫲🏽🫱🏻‍🫲🏽🫱🏻‍🫲🏽🫱🏻‍🫲🏽🫱🏻‍🫲🏽
 
Media nyingi ni za West na USA, usitegemee kupata kile ambacho ni halisi.
Russia sio waongeaji sana, wapo kwa vitendo zaidi.
Kama walivyoiteka Aljazeera saivi unaisikia?
 
Media nyingi ni za West na USA, usitegemee kupata kile ambacho ni halisi.
Russia sio waongeaji sana, wapo kwa vitendo zaidi.
Urusi si waongeaji lakini wakiongea pia hawajuwi wanaongea nini, walisema Moscow ikishambuliwa wataamsha popo kwa nuclear sasa Putin anashindwa kuchapa usingizi ndani ya Ikulu ya kremlin anijificha huko kusikojulikana
 
We jamaa unapenda sana kujipa moyo
 
hapo chini kuna website usiwe mvivu
euroasiatimes ni Blog?
Hii vita bado haijasha tu? Tuliaminishwa kuwa Urusi ana nguvu kijeshi na silaha nyingi ambazo ni hatari kwenye uwanja wa vita.
Nilitegemea ndani ya siku 30 akichelewa sana mpaka miezi 3, Ukraine yote inakuwa chini ya mrusi. Ha ha ha ha. Sasa hivi sijui mwaka wa ngapi huu bado anakomaa.
Urusi hii vita alikurupuka 100%
 
Anapigana na mataifa 30+ na anawatoa jasho
 
Anapigana na mataifa 30+ na anawatoa jasho
Ha ha ha ha ha
Sasa mbona sijaona majeshi ya nchi hizo 30 wakipigana? Wanapigana wenyewe wakiwa wapi? Ha ha ha ha ha
Anawatoa jasho au mrusi ndiyo anatoka jasho? Ukraine ni siku 30 au miezi 3 tu nchi tayari umeichukua.
Achana na mbepari ana akili sana, anaamini katika muda na watu. Libya imepigwa huku watu wapo kwenye nyumba zao wanakunywa juisi kwa mrija na kula kuku huku wamekunja nne halafu wakanyonya mafuta.
Kwa dharau ya Korea Kaskazini, Marekani angeshaingia vitani ila alijiuliza nitapata nini nikishinda au nikishindwa vita?
 
Hajawaona kwani ulitaka wavae bendera zao?

Silaha wanazotoa kama hizi leopard 2 ni made in Ukraine?
HIMARS
Armored vehicles
Nk
 
Back
Top Bottom