Ukosefu wa trafiki asubuhi Kimara-Ubungo

Ukosefu wa trafiki asubuhi Kimara-Ubungo

danilo silva

Member
Joined
Oct 14, 2010
Posts
53
Reaction score
10
Inakera sana asubuhi watu wanatanua wanavyotaka. Hakuna traffic hata mmoja kutoka Korogwe mpaka Ubungo.

Tunatumia zaidi ya saa moja wakati kabla ilikuwa chini ya nusu saa.

Tunaomba traffic warudi.
 
Hivi mnajua kuwa traffic ni neno la kiingereza ambalo maana yake ni FOLENI.
 
Hamna shukrani nyie..akiwepo kero asipokuwepo pia kero.Jiongozeni wenyewe!!
 
Kuanzia mbezi mwisho, kama hujui "kuchepuka" imekula kwako..ukifika zinakoanzia barabara za BRT, abiria wako mlaze aigize ni mgonjwa ..ukisimamishwa unasema unamuwahisha hospitali
 
Kuna ile foleni toka mbezi inakuja kupotelea pale suka. Inaudhi sana, tena ule muda malory hayajaachiwa.
 
Kuanzia mbezi mwisho, kama hujui "kuchepuka" imekula kwako..ukifika zinakoanzia barabara za BRT, abiria wako mlaze aigize ni mgonjwa ..ukisimamishwa unasema unamuwahisha hospitali

Ukiwa peke yako?? Utasema una presha??
 
Inakera sana asubuhi watu wanatanua wanavyotaka. Hakuna traffic hata mmoja kutoka Korogwe mpaka Ubungo.

Tunatumia zaidi ya saa moja wakati kabla ilikuwa chini ya nusu saa.

Tunaomba traffic warudi.

Ukifuata sheria nchi hii unakuwa looser. Trafic akikusimamisha usisimame kwasabab hatakuwa na muda wa kukufuatilia, utamcheleweshea mingo zake.
 
Back
Top Bottom