Mwananjengo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 317
- 101
Mtaa wa King'ong'o Kata ya Saranga ,wilaya ya ubungo hatuna maji ni mwezi wa nne Sasa. Tumeripoti DAWASA ofisi ya Kimara bila kupata Masaada. Wanakuja wanaangalia wanasema tunalishugulikia ni mwezi wa nne sasa. Sijui shida ni nn ,ni mgao wa maji au nini. Mgao wa miezi minne na mgao gani huo.
Meneja wa DAWASA Kimara anajua ila hakuna analofanya ,sijui Msaada tutapa wapi.
Meneja wa DAWASA Kimara anajua ila hakuna analofanya ,sijui Msaada tutapa wapi.