Ukosefu wa maji baadhi ya maeneo Wilaya ya Ubungo

lugoda12

Senior Member
Jul 28, 2018
160
337
UKOSEFU wa maji kwa wakazi wa Kimara, Stop Over, Suka, Bwawani, Mji mpya na mitaa mingine mbalimbali ya Dar es Salaam kwa muda usiopungua siku 3 mfululizo bila taarifa rasmi.

Katika sehemu ya TAARIFA ya DAWASCO kuna mitaa ambayo imetajwa kukosa maji n katika mitaa hiyo mitaa niliyoitaja hapo juu hakuna hata mmoja.

Kuna haja wahusika katika idara hiyo KUJIPIMA. ✍
 
UKOSEFU wa maji kwa wakazi wa Kimara, Stop Over, Suka, Bwawani, Mji mpya na mitaa mingine mbalimbali ya Dar es Salaam kwa muda usiopungua siku 3 mfululizo bila taarifa rasmi.
Katika sehemu ya TAARIFA ya DAWASCO kuna mitaa ambayo imetajwa kukosa maji n katika mitaa hiyo mitaa niliyoitaja hapo juu hakuna hata mmoja.
Kuna haja wahusika katika idara hiyo KUJIPIMA.
Poleni sana
Umenirudisha mbali sana say Hi kwa watu wa Golani
 
Naona baada ya kelele za wadau kuhusu vyoo vya Stendi ya Magufuli kukosa maji na kunuka,leo wameona wayaachie kwa muda ila kesho kukatwa kuko palepale
 
Back
Top Bottom