prettydiva
Senior Member
- Feb 19, 2014
- 101
- 39
Habari wanajamvi.
Mimi mdau mpya, kiukweli nimemaliza BA.Sociology 2011 lakini still sina job, nina experience ya sales & marketing ya mwaka na nusu, mwaka jana ajira iliisha na nmewaza kujiajiri ila tatizo mtaji..
Naombeni msaada wenu jaman.