Yesu ameletwa juzi tu Afrika,kabla ya hapo watu hawakuwa matajiri?Acheni kupotosha.Wachina,Warusi hawana yesu wala Muhammad lakini wanaishi konki konk fire,wanatukopa mpaka Afrika.Umasikini wa familia unatokana na unamasikn wa nchi.Watanzania 90% hali ni tete na waliopo maofisini ni kuiba na kufoji na wafanyabiashara ni wezi,wadhurumati,kafara nk.Na ndio maana mmilki wa biashara akifa na biashara zinakufa.
In Tanzania kama huna silka ya wizi njia yako ni ngumu.
Kuna watu magu alipoziba mianya ya wizi wamerudi 0 kwa kuwa walitegemea wizi.
JF limekua jukwaa la hovyo,watu wanadhihak watu badala ya kuwasaidia watu mawazo na ushauri.Ukienda jukwaa kama QUORA huwezi kuta dhihaka kama za JF na hili pengine ni sababu ya wtz kuendelea kuwa masikini kwa kuwa wanakosa sehemu za ushauri mzuri.JF haikuanzishwa kudhihaki watu na kuwatukana watu bali kutuunganisha wtz kuondokana na sintofahamu nyingi,tubadirike.