Ukoo unaendaga kwenye vikao vya ukoo?

Matunzo 02

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2026
Posts
1,046
Reaction score
2,093
Mimi nadhani ukoo wetu wanatutumia wapige hela kikao cha siku moja nichange 30k kilo 4 za mchele kila mtu nyumban tupo 7 tuchange 210k na kilo 28 alafu siku moja tu ety usipoenda unategwa nawaza kuachana na mambo ya ukoo.
 
Dah! pole sana mkuu...
wakati mwingine inahitajika kujikana nafsi, kuhusu haya mambo ya ukoo mie walinambie et nichange ya kujengelea maziara nikauchuna...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…