Ukomo wa uzuri wa mwanamke

Woooh! Umeona eeh!

Hakuna umri maalum wa mwanamke kuchuja au kutokua kivutio, bali anatoka hatua moja kwenda nyengine!
anaanza kuwa kivutio kwa vijana, baadae kwa watu wazima, baadae kwa wazee na mwisho kwa vikongwe!!
na katika kila hatua basi anakua mrembo tu juu ya hao wanaomuona!!!
 
mhm...wacha bwana watupe raha sie maana sinema za bure mie napenda sana.
uzuri wake unaisha pale unapoenda kumpigia puchu au pale unapofanikiwa kumvua tchupi....hana jipya tena
hubby wangu ananiona mpya kila uchao! tena kila siku anaiona tamu kuliko ya jana! nadhani hakuna kumona mwenzio mzee, kama upendo wa kweli unawaka mioyoni mwenu!
 
Swali gumu kweli. Unauliza ni wakati gani mwanamke hugundua kuwa kuacha mapaja yake nje ni ukosefu wa akili!

Kwa kweli ni ngumu kujua, kugundua kuwa wewe ni tofauti na mbuzi kwa hiyo ujisetiri huja muda wowote akili inapokomaa. Wengine hufa kabla hawajajua hilo
 
hubby wangu ananiona mpya kila uchao! tena kila siku anaiona tamu kuliko ya jana! nadhani hakuna kumona mwenzio mzee, kama upendo wa kweli unawaka mioyoni mwenu!

well basi wewe dada unajua ku-spice things up kwneye bedrum....wajua ni wanawake wachache sana wanaweza ku-keep man interested....ebu tupe siri ya kuhakikisha K yako inakuwa inazidi utamau kuliko jana
 
uzuri wa BINADAMU akiwemo mwanamke hukoma pale anapoingia futi sita chini ya ardhi! mikogo, uzinzi, manjonjo yote, huingia nayo 6fts under!
 
well basi wewe dada unajua ku-spice things up kwneye bedrum....wajua ni wanawake wachache sana wanaweza ku-keep man interested....ebu tupe siri ya kuhakikisha K yako inakuwa inazidi utamau kuliko jana

MZABZAB....!!!
Niajeeee!!
Lol
 
hubby wangu ananiona mpya kila uchao! tena kila siku anaiona tamu kuliko ya jana! nadhani hakuna kumona mwenzio mzee, kama upendo wa kweli unawaka mioyoni mwenu!

Noted dat eenh! Hata mimi ndo vile. Ila mi ndo namfanya awe brand new kila siku. Kila siku maujanja mapya. We discover ourselves everyday!
 
Sixteen years but still going strong, sisi tuna update software zetu kama OS, from windows 98 to ubuntu
 
Naomba kura yako mzabzab,miss chit chat!
well basi wewe dada unajua ku-spice things up kwneye bedrum....wajua ni wanawake wachache sana wanaweza ku-keep man interested....ebu tupe siri ya kuhakikisha K yako inakuwa inazidi utamau kuliko jana
 
Last edited by a moderator:
ah mie mwake mwana nasikilizia tuu maneno ya bidada hapa ya jinsi ya kuweka K iwe ina utamu zaidi na zaidi. mwisho atanitempt nimuonje hahaha

Dah!
Komenti Zak,Tunaozisomaga tunaingia Gharama Ya Kuvaa Elementi Ili Tusifumuke!
Eti "K"!
Ndo Nini?
Au Unamaanisha Kizibo?
 
Haya muda mwingine hayana umri!
Pengine mtu anaweza kuhamua kuacha kufanya hivyo muda wowote!

Kuna swali huwa najiuliza, naomba jibu kwa mwenye kujua. Hivi hawa wanawake warembo, machachari na wanaosumbua mitaani, urembo wao hukoma wanapofika umri gani? Ni ktk umri upi mwanamke hajisikii kutembea mapaja na matiti yakiwa nje? Ni ktk umri upi mwanamke hawi tena kivutio kwa wanaume?
 
Back
Top Bottom