Ukomo wa matumizi ya fedha ya bajeti ya mwaka

gwajae

Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
12
Reaction score
6
Hivi ni kweli kuwa inapofika tarehe 01.07. ya kila mwaka ndio hua ni mwisho wa matumizi ya fedha ya bajeti ya mwaka uliopita?
Kwa mfano: Kama mtu ilikuwa uajiriwe kwa bajeti ya fedha ya 2021/2022 bahati mbaya ikatokea shida mambo hayakukaa sawa, inapofika tarehe 01.07 ndo basi tena imekula kwako?Km ndio ile bajeti yako inapelekwa wapi?
Naomba majibu kwa anaefahamu tafadhali.
 
Mabaki ya bajeti hutakiwa kurudishwa hazina.. Lakini kibongobongo ndio kipindi cha watu kupiga... Maana wanahakikisha hakirudi kitu bali chochote kilichobaki kitatafutiwa justification ya matumizi
 
Back
Top Bottom