Ukombozi wa Zanzibar wazidi kuimarika


Ndugu yangu Falconer, hebu nitonye kidogo tu. Hiyo 92% ya wasioutaka muungano uliipata wapi?
 
I wish muungano ungevunjwa ili muwe huru!
Na sisi tuwe huru, sio wao tu. Tanzania Bara inabeba kongwa kubwa shingoni la huu muungano kuliko Zanzibar.

afadhali muungano ufe tu, unatusaidia nothing at all
bora ungekuwa unatusaidia "nothing at all." Unatuumiza. Watanzania Bara wengi masikini ya Mungu hawajui athari za mzigo wa huu Muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…