MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 116
mkuu karibu sana, watu kama nyinyi ndio tunawataka sana, kwa maana asilimia kubwa tutashughurika na kilimo na ufugaji....... karibu sanaNina Diploma ya Kilimo naruhusiwa?
mkuu karibu sana, watu kama nyinyi ndio tunawataka sana, kwa maana asilimia kubwa tutashughurika na kilimo na ufugaji....... karibu sana
Wazo lako/Lenu ni zuri sana, Ila ushauri wangu ni kwamba anzeni wachache na anzeni kidogo kidogo hayo ya Benki na kujiingiza kwenye masoko ya hisa yana hitaji long plan ni mambo ya my 20 years hado 30 years na ili uweze kuingia kwenye masoko ya hisa inategemeana na matokeo ya unacho fanya.
Hata mkipata aridhi kama hakuna mipango na commitment ni kazi bure mkuu, so ni lazima kikundi chenu hata watu 10 muanze kuliko kusubili kukusanya watu wengi sana ndo muanze ambapo hapo kila mtu anamategemeo yake.
Commitement ni mihumu kuliko vitu vyote hapo mnaweza ona mko wengi kumbe walio commited ni wa tatu tu, na si washauri kusajiri association ni bora mjipange msajiri kampuni kabisa ila ni baada ya kuwa mmeanza kazi.
Wadau heshima kwenu, tuna harakati za mwezi
mmoja na nusu sasa, katika kuanzisha jumuiya kubwa tanzania, lenye jina
la tanzania graduate association, lengo letu kubwa ni kuweza kujiajiri
sisi wenyewe, kwani tumezungumza na tunaendelea kuzungumza na viongozi
mbalimbali kwa lengo la kupata ardhi kubwa kwa ajiri ya kilimo na
ufugaji, hivyo mpaka sasa tunaenda kuisajili wizara ya mambo ya ndani,
na wiki iliyopita tumemaliza kupitisha katiba ya jumuiya. jumuiya hii
itakuwa na mambo yafuatayo, graduate saccos, makampuni tofauti tofauti,
na pia tunalenga kuwa na benk yetu ya graduate, na pia kujiingiza kwenye
masoko ya hisa.
Lengo ni kupanuka tanzania nzima, kuwa na matawi kila wilaya, hivyo
milango ipo wazi kwa kila mtu kujiunga na sisi, tutakuwa na kikao siku
ya jumamosi, saa 8 mchana, ukumbi wa seminar pale chuo kikuu cha dar es
salam, angalizo, sisi hatuusiki na siasa na wala hatushabikii chama
chochote. kwa mawasiliano, 0757950376; pia tunaopatikana kwenye group la watsap kwa namba 0717309119/ 0757950376;
Asanten