Ukoloni ni nini?

Tata

JF-Expert Member
Dec 3, 2009
5,799
2,725
Nimekuwa nikijiuliza siku nyingi watu tunaposema ukoloni tunamaanisha nini? Je ni watu wanaotawala au ni mfumo wa utawala?

Kama ukoloni una maana ya watawala waliopo madarakani bila kujali mfumo uliopo je mnaweza mkawa na ukoloni kwenye nchi hata kama nchi yenyewe ina uhuru kama ilivyo Tanganyika au Zanzibar?

Na kama ukoloni una maana ya mfumo wa kiutawala ina maana mnaweza kuendelea kuwa chini ya mfumo wa kikoloni hata kama nchi imepata uhuru kama ilivyokuwa Tanganyika au zanzibar.

Just thinking aloud.
 
Back
Top Bottom