Mlioko Zbar, hasa katika sekta ya Utalii nisaidieni hili.
Mabinti wanne wanasoma VETA mkoani. katika kujaribu kuwatoa ktk mazingira magumu; wanatakiwa kulipa 170,000 kwa ajili ya field.
Nimejaribu kuuliza hiyo pesa ni ya nini hasa, akanieleza kuwa ni ya nauli,kujikimu na "baraza la utalii-70,000", naomba nifahamishwe hilo "baraza la utalii" ni nini? na kuna kitu kama mtanzania anafanya field zbar alipie pesa kwa ajili ya nini? au kuna ka mradi falani hapo?
Asanteni wakuu.