Uko wapi?

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Hivi kwa nini wapenzi hupenda kuulizana hili swali kwenye simu? Unakuta sio kwamba anataka kujua mwenzie yuko wapi ili amfuate lakini lazima liulizwe.

Uko wapi apo,utafikiri anapaona bwana.
 
tunajali bana, lazma kila siku ujue mpenzi wako yupo wapi, amekula nini na maendeleo yake kiujumla.

Haswa shemeg...dadako huwa maji hayashuki kwenye koromeo asipojua mahali nilipo.
 
Haswa shemeg...dadako huwa maji hayashuki kwenye koromeo asipojua mahali nilipo.

hahhaha, safi sana. duh! mi siwezi maliza masaa matatu bila kumuuliza kaka yako alipo aisee.
 
Ndio mapenzi yenyewe...lazima ucheck mwenzi wako alipo na anaendeleaje kwa ujumla...mawasiliano muhimu sanaaa
 
Hivi kwa nini wapenzi hupenda kuulizana hili swali kwenye simu? Unakuta sio kwamba anataka kujua mwenzie yuko wapi ili amfuate lakini lazima liulizwe. Uko wapi apo,utafikiri anapaona bwana.
saa ingine anataka kujua ili akafanye mambo yake....
 
hahhaha, safi sana. duh! mi siwezi maliza masaa matatu bila kumuuliza kaka yako alipo aisee.

Mmmh shemeg huko kuuliza kwako kumepishana kama unywaji wa tembe za malaria...
 
Hivi kwa nini wapenzi hupenda kuulizana hili swali kwenye simu? Unakuta sio kwamba anataka kujua mwenzie yuko wapi ili amfuate lakini lazima liulizwe. Uko wapi apo,utafikiri anapaona bwana.

Abirikia chunga mzigo wako!
 
Husninyo umenifurahisha sana..maisha yamekuwa rahisi sana..tulikuwa tunadanganywa sana
 
Unaweza kudhani unamjali mtu kumbe ikawa KERO!!!!!!

Kila saa uko wapi!!!!!!unafanyaje!!!!!!kila mda.........

Kama yuko sehem anagegeda atakwambia!!!!!!!!!
 
Unaweza kudhani unamjali mtu kumbe ikawa KERO!!!!!!

Kila saa uko wapi!!!!!!unafanyaje!!!!!!kila mda.........

Kama yuko sehem anagegeda atakwambia!!!!!!!!!

Wewe huwa ukigegedana unawasha simu kwani?
 
Hata ukijibu upo toilet , italeta maana ya ukarimu?

Kujibu kwa ukarimu maana yake ni kutumia lugha laini yenye kujaa hikma na busara...
'Nipo maliwato au msalani' ni lugha laini zaidi kuliko ni'nipo chooni'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…