Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Nakubaliana na wewe.Upinzani wa sasa umejaa ufisadi, kutafuna ruzuku, hela za wahisani, kuwachangisha wabunge wao kwa ajili ya viongozi. UPINZANI NI KICHEFUCHEFU TUPU.
Magufuli aomgezewe miaka 20Watu wanajifikiza huku wewe umekalia majungu!! Utakufwa usicheze corona...kuraaa nyungu ...maana hii ndiyo kauli mbiu ya taifa kwa sasa...
Chanjo za mabeberu hatuzitaki...wajichanje wenyewe !!
CCM oyeeee.....!!
Kamanda umekosea.Huyo Mrema ana tofauti gani na Lowasa? Baada ya kupewa nafasi ya kugombea Urais kupitia NCCR Mageuzi mwaka 1995, na baadae kuangukia pua hakuna asiye fahamu kilicho tokea baadae.
Hivyo hana sifa ya kuitwa Muasisi wa Upinzani! Tukimuita huyo Pandikizi Muasisi, na Marehemu James Mapalala tumuitaje?
Mmebaki wenyewe nchi zima na kwenye kila ofisi, hicho kichefu chefu ulichonacho nakushauri wahi Hosp.Upinzani wa sasa umejaa ufisadi, kutafuna ruzuku, hela za wahisani, kuwachangisha wabunge wao kwa ajili ya viongozi. UPINZANI NI KICHEFUCHEFU TUPU.
Kwenye ishu ya kuibua masuala ya ufisadi, kwa mtazamo wangu Dr. Wilbrod Slaa, David Kafulila, John Mnyika na Tundu Lissu! Ndiyo ambao walifanya kazi kubwa na hasa wakati serikali ya JK ilipokuwa madrakani.Kamanda umekosea.
Kumbuka ufisadi kipindi cha Jakaya na Mkapa (RIP) ulikuwa tofauti. Lazima hata mashambulizi yawe tofauti.Kwenye ishu ya kuibua masuala ya ufisadi, kwa mtazamo wangu Dr. Wilbrod Slaa, David Kafulila, John Mnyika na Tundu Lissu! Ndiyo ambao walifanya kazi kubwa na hasa wakati serikali ya JK ilipokuwa madrakani.
Usisahau Mbowe kula papuchi za wabunge wanawake ili wapewe zile nafasi. Nguvu ya Nyagi.Upinzani wa mbowe anakula pesa zote za ruzuku
Nitajie katika hao wapinzani kama kuna yoyote aliwahi kupigwa risasi akiwa kwenye eneo la bunge, na kundi la watu wasiojulikana wenye backup ya marais wa wakati huo.Ulikiwa ni upinzani wenye nguvu, maana walikiwa wakisema kitu kina ukweli ndani yake. Walikuwa wakisema juu ya ufisadi flani unakuta ni 98% hakuna chembe ya uongo hata kidogo. Kama wakisisema leo rais amevaa soksi nyeusi basi ni nyeusi kweli. Hawa watu walikuwa wanatisha.
Leo hii tunakuwa na wapinzani hawana data. Wanaibuia ufisadi wa tril 1.5 bila ushahidi. Wapinzani gani hawa?
Mnakumbuka ngumi zilivyopigwa wakati Nccr Mageuzi inasambaratika? Hawa walikuwa wanaume na miamba ya shoka.
Swali gani hili?Nitajie katika hao wapinzani kama kuna yoyote aliwahi kupigwa risasi akiwa kwenye eneo la bunge, na kundi la watu wasiojulikana wenye backup ya marais wa wakati huo.
Swali gani hili?
Mrema hajawahi kuasisi upinzani wa Tanzania , uongo iko siku utakuponzaUlikiwa ni upinzani wenye nguvu, maana walikiwa wakisema kitu kina ukweli ndani yake. Walikuwa wakisema juu ya ufisadi flani unakuta ni 98% hakuna chembe ya uongo hata kidogo. Kama wakisisema leo rais amevaa soksi nyeusi basi ni nyeusi kweli. Hawa watu walikuwa wanatisha.
Leo hii tunakuwa na wapinzani hawana data. Wanaibuia ufisadi wa tril 1.5 bila ushahidi. Wapinzani gani hawa?
Mnakumbuka ngumi zilivyopigwa wakati Nccr Mageuzi inasambaratika? Hawa walikuwa wanaume na miamba ya shoka.