Mkuu umenielewa vibaya,simaanishi kwamba Panya Road hakuna ila kuna vitu vinakuzwa kuliko uhalisia.Omba yasikukute. Pale Tabata kisiwani watu wamechezea visu na mapanga halafu wewe unaleta utani.
Kunduchi hadi mtoto wa miaka Tisa/9 kala mapanga ya panya road halafu wewe unaleta story za sungura na fisi.
Jaribu kufatilia vyombo vya habari hasa TV ili ujionee kwa macho sio kushinda tu Instagram kuangalia makalio ya kina Gigy money.
Huu upuuzi nimefika hom jion hii naskia dada mmoja anaongea njian nimeona panda Road bonyokwa wana mapanga wapo wengi.Habari Mabibi na Mabwana wa Jf;
Haya matukio ya Panya Road kwa sasa yamekua yana tatanisha sana.
Mfano Mimi ni mkazi wa Temeke (Tandika) sikuwai kusikia wala kuona Panya Road.
Lakini cha ajabu nikienda kazini maeneo ya Sinza nawasiki watu wanahadisia kua Panya Road wamevamia Temeke (Tandika ).
Basi nabaki najiuliza, mbona mimi nakaa huko na hiyo siku ambayo wanasema Panya Road wamevamia nilishinda uko na nikawa ktk mizunguko mpaka saa 4 Usiku sikusikia wala kuona Panya Road?.
Hii inanifanya nikumbuke story ya Babu yangu, kuhusu Mwizi Maaru hapa jijini Dar alieitwa MAHMOUDU.
Ipo hivi;
Miaka ya nyuma kulitokea Mwizi maarufu kwa jina MAHMOUDU, kipindi hicho Dar yote kituo cha polisi kilikua Msimbazi Police tu ukiondoa makao Mkuu Centre, hii zamani kidogo.
Kesi za wizi zilizokua zikilipotiwa zote mtuhumiwa wao ni MAHMOUDU.
Haijalishi mleta mashtaka katokea wapi iwe Magomeni au Temeke, tena hata kama matukio yalitokea kwa wakati Mmoja.
Police walimtafuta MAHMOUDU na kumuweka ndani, chakushangaza kesi zikawa zinakuja na mtuhumiwa wao ni yuleyule bwana MAHMOUDU.
Sasa hawa Panya Road kweli wapo kama tunavyo Peana taarifa au tunatishana tu na kulikuza hili jambo.
Mkuu hata picha huoni kama kusoma hujuiHabari Mabibi na Mabwana wa Jf;

Ntafute nikurengeshe kwenye machimbo yao ukawe chakula chao mkuu ili uaminHabari Mabibi na Mabwana wa Jf;

Muongo tu miaka anayodai mm nakumbuka, wez kibao na polisi wetu walikuwa mahiri Sana wanakutia hatiani ila ukilipa Mali ukiyoiba unaachiwaHuyo babu yako kilaza kakuona wewe ni boya ndio maana kakupa story ya uongo 😂😂😂
Ulizia majiran zako na kawatafute majerui mkuu wakueleze kinaga ubagaWanasema tukio limetokea Tandika sokoni yani mpaka watu wamefunga maduka mapema.
Mimi nipo kalibu na hapo Tandika madukani
Sie huku Dom mbona hawaji ?Next time watakufikia tu mkuu na huwa ni tukio la dakika chache maana wanafanya kazi yao kwa tahadhali kidogo wanachokipata wanatoweka
Acha uwongo kipindi hicho Bado upo katika zipo.Muongo tu miaka anayodai mm nakumbuka, wez kibao na polisi wetu walikuwa mahiri Sana wanakutia hatiani ila ukilipa Mali ukiyoiba unaachiwa