Ni kwenye katiba tu mkuu hapo ndo tatizo..... Na katiba ndo inatuongozaVyama vinavyounda UKAWA vimetangaza kufanya maandamano yenye lengo la kupinga udikteta, UKUTA. Maana yake ni Kwamba serikali ya Rais Magufuli in ya kidikteta.
Niwakumbushe UKAWA yafuatayo:
1. Serikali ya Rais Magufuli imechaguliwa na watanzania kikatiba katika Uchaguzi mkuu 2015.
2. Kulingana na katiba, Rais hushauliwa na Baraza la mawaziri. Na pia Rais hushauriwa na Chama chake. Hivyo, Rais Magufuli anafanya maamuzi Kwa kushauriwa na taasisi hizi. Hivyo madai Kwamba anaamua bila kushauriwa hayana mashiko.
3. Madai Kwamba anawagandamiza baadhi ya watanzania, ni jambo la kushangaza. Tukumbuke wakati WA sakata la EPA, Chadema walipiga kelele sana wakati JK alipowaomba wezi WA fedha za EPA wazirudishe. Wakasema anaongea na wezi. Rais Magufuli amechukua msimamo tofauti, amekuwa dhabiti. Sasa Chadema wanadai dikteta. Hapana.
4. Rais Magufuli amekuwa na msimamo Mkali dhidi ya Ufisadi, wakwepa kodi, ubadhirifu kwenye serikali na halmadhauri na mashirika ya umma. Anapigania utajiri WA Nchi Yetu uwanufaishe watanzania wote. Ukweli Rais Magufuli ni Jibu Kwa maombi ya watanzania wengi kutokana na hali ilivyokuwa imefika.
4. Upinzani wanachokifanya ni kutaka kuwapotodha watanzania ili waichukie serikali yao. Upotodhaji lengo ni uchochezi.
Ukowapi udikteta wa Rais Magufuli? Lakini uchochezi wa UKAWA in dhahiri. UKAWA wanadai demokrasia inaminywa. Tukumbuke, mgombea UKAWA alivyopatikana. Ilikuwa ndani ya chopa na watu wachache siyo kwenye vikao. Hapakuwa na mchakato ulio wazi. Iko wapi demokrasia kwenye UKAWA ?
Pia tukumbuke, walimtuhumu Lowassa Kwa muda mrefu kuwa ni fisadi na wakawaeleza watanzania kuwa wanao ushahidi. Ghafla wakaamua awe mgombea urais. Uko wapi Uzalendo WA kweli ndani ya UKAWA ?
Watanzania tumuunge Mkono Rais Magufuli.
Fredy Mpendazoe, hata mimi nimeanza kukudharau japo sina tabia ya kumdharau binadamu mwenzangu. Rais Magufuli kutoa maagizo yanayovunja Katiba na Sheria za Nchi unaliona ni jambo dogo!! Hivi umeitafakari hotuba ya Baba wa Taifa kuhusu nyufa tatu kuu katika Taifa letu mwaka 1995? Moja ya nyufa hizo kwa mujibu wa Katiba ilikuwa kutojali katiba ya nchi hasa katika maamuzi ya serikali ya Rais Mwinyi kujiunga na OIC ambalo ni shirika la kidini kinyume cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano. Mwalimu alifika mbali zaidi hadi kusema kuwa Rais asiyeheshimu Katiba ya nchi hata kwa jambo dogo tu 'hatufai'. Mahali pake ni kukaribishwa kwenye chai ikiwa tunampenda sana na si Ikulu. Kumbuka ndugu Fredy, mate yasikudondoke kwenye UDC tu uksahau haya.Mfano huu utasaidia sana kueleza hali iliyopo kati wanavyoona UKAWA na hali halisi:
One day a school teacher wrote on the board the following:
9×1=7
9×2=18
9×3=27
9×4=36
9×5=45
9×6=54
9×7=63
9×8=72
9×9=81
9×10=90
When she was done, she looked to the students and they were all laughing at her, because of the first equation which was wrong, and then the teacher said the following,
"I wrote that first one wrong on purpose, because I wanted you to learn something important. This was for you to know how the world out there will treat you. You can see that I wrote RIGHT 9 times, but none of you congratulated me for it; you all laughed and criticized me because of one wrong thing I did. So this is the lesson...:
'The world will never appreciate the good you do a million times, but will criticize the one wrong thing you do... But don't get discouraged, ALWAYS RISE ABOVE ALL THE LAUGHTER AND CRITICISM. STAY STRONG.' "
Hata kwa wana Ukawa, JPM kafanya mambo mengi mema. Lakini wanang'ang'ana na vitu vidogo dogo tu.
UKAWA Toeni Boliti Kwenye Macho yenu hakika mtaona vizuri na mtamuunga mkono JPM.
Wapo pia waliopata kuhoji: Uko wapi udikteta wa Idi Amini? Wapo waliopata kuhoji uko wapi udikteta wa Adolf Hitler? Upo wapi udikteta wa Marcias Francois Nguema? Uko wapi udikteta wa Muammar Ghaddafi?(Huyu hata mtawala wetu huwa anahoji)...lakini tunasumbuka nini?We know for certain that every devil on earth has got his/her own ardent worshippers!Vyama vinavyounda UKAWA vimetangaza kufanya maandamano yenye lengo la kupinga udikteta, UKUTA. Maana yake ni Kwamba serikali ya Rais Magufuli in ya kidikteta.
Niwakumbushe UKAWA yafuatayo:
1. Serikali ya Rais Magufuli imechaguliwa na watanzania kikatiba katika Uchaguzi mkuu 2015.
2. Kulingana na katiba, Rais hushauliwa na Baraza la mawaziri. Na pia Rais hushauriwa na Chama chake. Hivyo, Rais Magufuli anafanya maamuzi Kwa kushauriwa na taasisi hizi. Hivyo madai Kwamba anaamua bila kushauriwa hayana mashiko.
3. Madai Kwamba anawagandamiza baadhi ya watanzania, ni jambo la kushangaza. Tukumbuke wakati WA sakata la EPA, Chadema walipiga kelele sana wakati JK alipowaomba wezi WA fedha za EPA wazirudishe. Wakasema anaongea na wezi. Rais Magufuli amechukua msimamo tofauti, amekuwa dhabiti. Sasa Chadema wanadai dikteta. Hapana.
4. Rais Magufuli amekuwa na msimamo Mkali dhidi ya Ufisadi, wakwepa kodi, ubadhirifu kwenye serikali na halmadhauri na mashirika ya umma. Anapigania utajiri WA Nchi Yetu uwanufaishe watanzania wote. Ukweli Rais Magufuli ni Jibu Kwa maombi ya watanzania wengi kutokana na hali ilivyokuwa imefika.
4. Upinzani wanachokifanya ni kutaka kuwapotodha watanzania ili waichukie serikali yao. Upotodhaji lengo ni uchochezi.
Ukowapi udikteta wa Rais Magufuli? Lakini uchochezi wa UKAWA in dhahiri. UKAWA wanadai demokrasia inaminywa. Tukumbuke, mgombea UKAWA alivyopatikana. Ilikuwa ndani ya chopa na watu wachache siyo kwenye vikao. Hapakuwa na mchakato ulio wazi. Iko wapi demokrasia kwenye UKAWA ?
Pia tukumbuke, walimtuhumu Lowassa Kwa muda mrefu kuwa ni fisadi na wakawaeleza watanzania kuwa wanao ushahidi. Ghafla wakaamua awe mgombea urais. Uko wapi Uzalendo WA kweli ndani ya UKAWA ?
Watanzania tumuunge Mkono Rais Magufuli.
Vipi Lukuvi, Membe na yule DC wa kinondoni bado wanamhujumu mtukufu Rais kama ulivyotuaminisha siku chache zilizopita?Ukweli mchungu kwa machadema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ile makala yako ya "Lowassa tusamehe" ungali unaiamini?
Hahahah ajizi ni nyumba ya njaa!!!
Utadhalilika sana mbele ya watoto wako.
Hakuna kiongozi yoyote iwe wa siasa au dini anayeeleza kama jambo hilo lipo kisheria .Fredy Mpendazoe, hata mimi nimeanza kukudharau japo sina tabia ya kumdharau binadamu mwenzangu. Rais Magufuli kutoa maagizo yanayovunja Katiba na Sheria za Nchi unaliona ni jambo dogo!! Hivi umeitafakari hotuba ya Baba wa Taifa kuhusu nyufa tatu kuu katika Taifa letu mwaka 1995? Moja ya nyufa hizo kwa mujibu wa Katiba ilikuwa kutojali katiba ya nchi hasa katika maamuzi ya serikali ya Rais Mwinyi kujiunga na OIC ambalo ni shirika la kidini kinyume cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano. Mwalimu alifika mbali zaidi hadi kusema kuwa Rais asiyeheshimu Katiba ya nchi hata kwa jambo dogo tu 'hatufai'. Mahali pake ni kukaribishwa kwenye chai ikiwa tunampenda sana na si Ikulu. Kumbuka ndugu Fredy, mate yasikudondoke kwenye UDC tu uksahau haya.
Mpendazoe nani amekuambia uchaguzi unaondoa haiba ya udikteta duniani?"Fred Mpendazoe, post: 17295947, member: 382107"]
1. Serikali ya Rais Magufuli imechaguliwa na watanzania kikatiba katika Uchaguzi mkuu 2015.
Hivyo ana dhima ya kukubali kila ushauri?2. Kulingana na katiba, Rais hushauliwa na Baraza la mawaziri. Na pia Raishushauriwa na Chama chake. Hivyo, Rais Magufuli anafanya maamuzi Kwa kushauriwa na taasisi hizi. Hivyo madai Kwamba anaamua bila kushauriwa hayana mashiko.
Hapa unapindisha hoja. Sijui kama kuna hoja ya kupinga hatua zinazochukuliwa. Hoja ni kupinga marufuku ya mikutano.3. Madai Kwamba anawagandamiza baadhi ya watanzania, ni jambo la kushangaza. Tukumbuke wakati WA sakata la EPA, Chadema walipiga kelele sana wakati JK alipowaomba wezi WA fedha za EPA wazirudishe. Wakasema anaongea na wezi. Rais Magufuli amechukua msimamo tofauti, amekuwa dhabiti. Sasa Chadema wanadai dikteta. Hapana.
Hali ilifika pabaya kutokana na usimamizi wa hapo CCM! Hakuna anayepinga hatua ilimradi tu ziwe ndani ya sharia4. Rais Magufuli amekuwa na msimamo Mkali dhidi ya Ufisadi, wakwepa kodi, ubadhirifu kwenye serikali na halmadhauri na mashirika ya umma. Anapigania utajiri WA Nchi Yetu uwanufaishe watanzania wote. Ukweli Rais Magufuli ni Jibu Kwa maombi ya watanzania wengi kutokana na hali ilivyokuwa imefika.
Tusaidie kuelewa, marufuku ya mikutano ya kisiasa yapo katika sharia gani za nchi, yanatumika wapi na kwasababu zipi.4. Upinzani wanachokifanya ni kutaka kuwapotodha watanzania ili waichukie serikali yao. Upotodhaji lengo ni uchochezi
Mpendazoe, unawekaje demokrasia ya chama cha siasa katika mizani na demokrasia ya Taifa?Ukowapi udikteta wa Rais Magufuli? Lakini uchochezi wa UKAWA in dhahiri. UKAWA wanadai demokrasia inaminywa. Tukumbuke, mgombea UKAWA alivyopatikana. Ilikuwa ndani ya chopa na watu wachache siyo kwenye vikao. Hapakuwa na mchakato ulio wazi. Iko wapi demokrasia kwenye UKAWA ?
Uzalendo ungeanzia kumshtaki kwanza.Pia tukumbuke, walimtuhumu Lowassa Kwa muda mrefu kuwa ni fisadi na wakawaeleza watanzania kuwa wanao ushahidi. Ghafla wakaamua awe mgombea urais.Uko wapi Uzalendo WA kweli ndani ya UKAWA ?
Mueleze huyo Fred Mpendazoe kuwa kama Magufuli ana nia njema na anaamini Katiba, kama ilivyo inamkwamisha, zipo njia halali na sahihi kwake kukabiliana na hali hiyo. Swali la kujiuliza ni kwa nini anakwepa kutumia njia hizo ambazo hata Katiba yenyewe tuliyo nayo inamruhusu kuzitumia bila kuvunja sheria?Mpendazoe nani amekuambia uchaguzi unaondoa haiba ya udikteta duniani?
Kuna nchi ngapi zinafanya uchaguzi chini ya madikteta.
Hoja hapa ni kuwa,uchaguzi ni hatua moja, kusimamia sheria za nchi ni hatua nyingine.
Ni sawa na mzazi anayejifungua mtoto. Uzazi haumaanishi mzazi huyo mwema lazima atatoa mtoto mwema. Umeelewa! Uchaguzi una lengo la kupata viongozii! hauelezi Zaidi Hivyo ana dhima ya kukubali kila ushauri?
Kwa Mpendazoe hata kama ingalitokea kipande cha nchi kikauzwa, midhali kuna ushauri basi mamlaka zifuate tu.
Rais anashauriwa, dhima ya kupima ushauri na matokeo ya ushauri huwa mikononi mwake. Rais alipoapa kwa katiba, hakushirikisha CCM au baraza
Hapa unapindisha hoja. Sijui kama kuna hoja ya kupinga hatua zinazochukuliwa. Hoja ni kupinga marufuku ya mikutano.
Mpendazoe, huu ulaghai unakusiadiaje katika kujenga taswira na haiba yako?
Labda onyesha sehemu moja tu wapinzani waliposema hatua zinazochukuliwa dhidi ya ufisadi na rushwa ni za kidikteta ili nasi tuunge tela Hali ilifika pabaya kutokana na usimamizi wa hapo CCM! Hakuna anayepinga hatua ilimradi tu ziwe ndani ya sharia Tusaidie kuelewa, marufuku ya mikutano ya kisiasa yapo katika sharia gani za nchi, yanatumika wapi na kwasababu zipi.
Hapo tutajua uchochezi wa vyama vya siasa
Kama huna kifungu cha sheria, kuna tatizo gani ukakaa kimya! kuliko kuendelea na 'uchochezi' huu unaoufanya! Kumbuka kuongea jambo bila ushahidi ndio uchochezi Mpendazoe, unawekaje demokrasia ya chama cha siasa katika mizani na demokrasia ya Taifa?
Kumbuka Rais alipoapishwa alitumia katiba ya JMT ya mwaka 1977.
Ni Rais wa kila mmoja, anachokifanya ni kwa ajili ya Taifa.
Unapochukua mambo ya vyama ukayaweka katika mizani na hadhi ya Rais, humtendei haki. Hadhi ya Rais ni kubwa kuliko chochote kile unachokifikiria.
Please hebu jaribu kuheshimu mamlaka za nchi kwa kutoziweka katika mizani na vyama vya siasa. Uzalendo ungeanzia kumshtaki kwanza.
Hapo CCM hawakuweza kumfikisha katika sheria, walikuwa naye hadi hatua ya mwisho ya mchujo wa Urais. Hawakuweza hata kumzuia.
Aliotuhumiwa nao wapo Bungeni tena wakiwa na nyadhifa.
CCM imekaa kimya , uzalendo upi unaongelea Mpendazoe?
Hivi magamba tuliyoambiwa yalivuliwa?
Wizi unaoendelea hadi kwenye taasisi nyeti ukifunikwa kwa 'wamalize kazi' ndio uzalendo? Mpendazoe, unaongelea uzalendo gani?
Huu uandishi huu aisee,Vyama vinavyounda UKAWA vimetangaza kufanya maandamano yenye lengo la kupinga udikteta, UKUTA. Maana yake ni Kwamba serikali ya Rais Magufuli in ya kidikteta.
Niwakumbushe UKAWA yafuatayo:
1. Serikali ya Rais Magufuli imechaguliwa na watanzania kikatiba katika Uchaguzi mkuu 2015.
2. Kulingana na katiba, Rais hushauliwa na Baraza la mawaziri. Na pia Rais hushauriwa na Chama chake. Hivyo, Rais Magufuli anafanya maamuzi Kwa kushauriwa na taasisi hizi. Hivyo madai Kwamba anaamua bila kushauriwa hayana mashiko.
3. Madai Kwamba anawagandamiza baadhi ya watanzania, ni jambo la kushangaza. Tukumbuke wakati WA sakata la EPA, Chadema walipiga kelele sana wakati JK alipowaomba wezi WA fedha za EPA wazirudishe. Wakasema anaongea na wezi. Rais Magufuli amechukua msimamo tofauti, amekuwa dhabiti. Sasa Chadema wanadai dikteta. Hapana.
4. Rais Magufuli amekuwa na msimamo Mkali dhidi ya Ufisadi, wakwepa kodi, ubadhirifu kwenye serikali na halmadhauri na mashirika ya umma. Anapigania utajiri WA Nchi Yetu uwanufaishe watanzania wote. Ukweli Rais Magufuli ni Jibu Kwa maombi ya watanzania wengi kutokana na hali ilivyokuwa imefika.
4. Upinzani wanachokifanya ni kutaka kuwapotodha watanzania ili waichukie serikali yao. Upotodhaji lengo ni uchochezi.
Ukowapi udikteta wa Rais Magufuli? Lakini uchochezi wa UKAWA in dhahiri. UKAWA wanadai demokrasia inaminywa. Tukumbuke, mgombea UKAWA alivyopatikana. Ilikuwa ndani ya chopa na watu wachache siyo kwenye vikao. Hapakuwa na mchakato ulio wazi. Iko wapi demokrasia kwenye UKAWA ?
Pia tukumbuke, walimtuhumu Lowassa Kwa muda mrefu kuwa ni fisadi na wakawaeleza watanzania kuwa wanao ushahidi. Ghafla wakaamua awe mgombea urais. Uko wapi Uzalendo WA kweli ndani ya UKAWA ?
Watanzania tumuunge Mkono Rais Magufuli.
Njaa mbaya sana.Huyu jamaa amepoteza mwelekeo hajui aende wapi maskini.Unajitekenya huku unacheka..katiba inatoa Uhuru wa kutoa mawazo(freedom of expression) na association pia,yeye anakataza mikutano na maandamano huku akiwa wakwanza kuifanya tena kwa kuwaponda wapinzan..wajinga kama weww ndio wanaoamin hamna udikteta.