Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,051
- 168,706
Kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye pia ni mkuu wa Mkoa ndugu Paul Makonda amekuwa akijinasibu kuwa yeye ni msafi na muadilifu. Mara kadhaa amewakamata na kuwasweka ndani watumishi mbalimbali wa umma kwa sababu mbalimbali.
Huyu Paul Makonda je anafanya biashara gani hadi aingize nchini makontena 20?
Je, tume ya maadili ya viongozi wa umma wanajua kuwa Paul Makonda ni mfanyabiashara?
Je, ni wapi anakouzia mizigo yake?
Najua Paul Makonda yuko juu ya mamlaka kuu, hamna wa kumgusa, lakini hilo halituzuia wananchi wa kawaida kuhoji uadilifu wake.
Mara kadhaa Paul Makonda alihusishwa na kashfa ya kudhulumu magari ya kifari ya kampuni ya Nas Hauliers.
Amekuwa akituhumiwa kuwa harass Wafanyabiashara wampe pesa kwa lazima.
Amekuwa akitajwa hufadhili kikundi cha watu wasiojulikana.
Paul Makonda ni zaidi ya anavyojinasibu kwa nje kuwa yeye ni mlokole na mwadilifu.
Ndio huyu huyu kijana aliyemzaba kibao Mzee Joseph Sinde Warioba.
Najua watakuja watukanaji kutukana, kuponda, kukebehi Na kudhihaki, lakini hilo kamwe halitazuia sisi wananchi kuhoji uadilifu wa viongozi wetu.
Nyerere alisema, ili nchi iendelee inahitaji watu, siasa safi, uongozi Bora Na ardhi.
Tanzania haiwezi kuendelea kwa kuwa Na viongozi kama Paul Makonda.
Mchana mwema