Uko wapi mwalimu wetu Mama Kisanji?

Uko wapi mwalimu wetu Mama Kisanji?

isidingo 1961

Senior Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
106
Reaction score
13
Kwa wale Wanafunzi tuliosoma Na kumaliza kidato cha NNE ktk Shule ya sekondari AZANIA ya Jijini Dar es salaam mwaka 1976 tutakuwa tunamfahamu Mwalimu Mama Kisanji.

Tunaomba yeyote anayejua alipo Mwl.Wetu atupe mawasiliano TUMSHUKURU MAMA YETU.
 
kwani shule ya azania iliisha bomoka na kufutika kwenye ramani ya Tanzania...? kama bado ipo, waweza tembelea hapo
utapata msaada wako haraka, ingawa hata hapa waweza pata ila kwa kwenda hapo shuleni ingekuwa barabara zaidi.
 
Huo mwaka ha ha ha ha a ha haha haha ha ha ha ha

shikamoo babuu
 
Back
Top Bottom