Uko wapi mpenzi wangu?

Uko wapi mpenzi wangu?

Hahahahaha Kasie

Basi usijali Mom Kasie, hata mimi napenda ku dance pia.

Nami umenifanya baadae nikawasikilize akina Jah cure, voice mail, Lutan Fyah

Karibu sana Kasie matata wa Vurugu
Nimekupendea hapo tuu, napenda sana kudance.

Hasa mtu unae dance nae nikibadili style nae anaelekea niliko inakuwa tunaenda pamoja. Nikishuka chini nae anashuka. .... nikipanda nae anapanda. ....

Umenipa taswira ya kucheza reggae muffin. ......

Unanipandisha mzuka mwenzio niko kwa ofisi hivoo.

Wee Kunta wewee... haya bana.... ngoja siku ifike tuone K na K zinapokutana yaani Kunta na Kasie hehehehehe.
 
Hahahahaha Kasie

Basi usijali Mom Kasie, hata mimi napenda ku dance pia.

Nami umenifanya baadae nikawasikilize akina Jah cure, voice mail, Lutan Fyah

Karibu sana Kasie matata wa Vurugu

Poa poa Kunta.
 
Hongera sana bibie ila bado sijapata mani hayo maisha.
Mie mtu akitaka mahaba basi kila mtu aishi kivyake na kikwake. Mambo ya kugandana kufatana na kubanana yalinishinda.

Am a lot selfish and I enjoy life that way.

Super selfish Kasie.
Mhu we haya It is your choice labda you have your reason behind.. Good luck. Naheshimu maamuzi yako pia.
 
Back
Top Bottom