Uko wapi mpenzi wangu?

Uko wapi mpenzi wangu?

Badala ya kunipa hongera? Miaka 34 kwenye pingu siyo kidogo ati?

Haya hongera....

Mie nasikiaga tuu yanayojiri huko sitaki hata kujaribu kunusa.
 
Siyo kweli. Chemistry ikikubali unaenjoy sana ndoa. Jiulize kama una kaka au dada simnagombana kila siku at the end of the day mnakula sahani moja? Kwenye ndoa ndo usiseme mkikwaruzana basi mahaba yakitoka hapo ndo usiseme. Mme wangu siyo chokoraa wale wanakula kila taka taka. Namwamini naye ananiamini na kuniheshimu. Tuna wajukuu sasa. Mimi nimeridhika yeye anaogopa kukimbiwa na watoto akitetereka na mie kumfukuza maana inabidi yeye aachie ngazi. Nyumba tumejenga wote, watoto tumezaa wote wala hakuna wa kusingiziwa na wamemfanana 90 percent hivyo hana ubavu. Hati za nyumba zote zina majina yetu hivyo akiamua kulikoroga anasepa peke yake.
 
Hongera sana bibie ila bado sijapata mani hayo maisha.
Mie mtu akitaka mahaba basi kila mtu aishi kivyake na kikwake. Mambo ya kugandana kufatana na kubanana yalinishinda.

Am a lot selfish and I enjoy life that way.

Super selfish Kasie.
 
Heheheheh nilijisemea tuu kuwa lazima atatokea mtu kuuimba huu wimbo.

Here you are....

My instincts are always right.

Ciao.
Nimeimba makusudi kwakujua tu lazima Kasie aniote usiku[emoji4][emoji4]
 
Niogope nini sasa wakati Kasie ni matata

Na ni matata kwelii aiseeh hehehehehehe

Haya kama huogopi basi vyema.

Kaza mshipi vizuri usijelegea au dondoka wakati wa hekaheka. .......
 
Basi hakuna matata, Mshipi upo vizuri kwa heka heka za kumbeba papa kutoka kina kirefu cha bahari mpaka nchi kavu

Keeeuwiiiii hahahahahaa looh
Wewe hufai hata kidogoo hehehehehehee hutaniwiii

Umeniweza kwelikweli laaah.
 
Hahahaha kuna watu wakitaniwa huwa wanafanya kwelii yaani wanaichaapa ile kazi kisawa sawa

Kasie matata kawezwa

Aahahahahahahahaaaa sijakubali banaa, Kasie ni mbishi balaa.

Nakufanyia vurugu hadi mshipi udondoke aahahahahahahahaa

Kasie Mavurugu .
 
Kasie ni mbishi kwa wengine tu,
Mshipi ambao umehimili vurugu za papa baharini basi hata vurugu za kasie matata nchi kavu si chochote

Hahahahaaa yaani ndo unanifanya nizidi kukubishia. .... na nnavopenda ligi sasa. .... aahahahahha

Jiandae kwa sarakasi.
 
Hahaha mbona sioni ubishi wowote hapo zaidi labda naona umatataa wako

Sarakasi handler

Fundi sarakasi

Hahahahaaa looh, hivi wewe ndo Kunta Kinte....!!??

Sio kwa kutokubali huko......

Haya twende pamoja, dance unaliweza lakini? Maana Kasie akianza kulisakata rhumba saa tatu usiku hakai chini wala hapumziki hadi majogoo yaani hadi kunakucha. Hapo ndo atalala mchana kutwa.

Kama ni mazoezi anza marathon mapemaa, ukiweza kimoja non stop from kinondoni morrocco to salender bridge then to sea cliff basi hapo jiaminishe kuwa utadance sambamba na Kasie.

Kazi kwako Kunta.
 
Mimi ndiye

Dance, rhumba, chakacha, twist hapa ndo nyumbani kwao

Style utakayo switch mimi naenda nayo, usindwe wewe tu pumzi inaruhusu kwa route ndefu na hata fupi fupi
 
Style utakayo switch mimi naenda nayo,

Nimekupendea hapo tuu, napenda sana kudance.

Hasa mtu unae dance nae nikibadili style nae anaelekea niliko inakuwa tunaenda pamoja. Nikishuka chini nae anashuka. .... nikipanda nae anapanda. ....

Umenipa taswira ya kucheza reggae muffin. ......

Unanipandisha mzuka mwenzio niko kwa ofisi hivoo.

Wee Kunta wewee... haya bana.... ngoja siku ifike tuone K na K zinapokutana yaani Kunta na Kasie hehehehehe.
 
Back
Top Bottom