Naomba kwa yeyote anayejua alipo au anayemfahamu au kama unausoma ujumbe huu plz tutafutane...... Ni mtu wa tabora kwa mara ya mwisho tuliachana ktk mji wa makambako alikuwa akijishughulisha na ujenz wakat mm nikikuwa kambi ya jeshi makambako...... Kama unausoma ujumbe huu nipm kaka