Uko wapi choice variable?

Uko wapi choice variable?

Superhuman 1995

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
1,504
Reaction score
2,451
Najua kwa sasa, tutakuwa pamoja na kusema kauli yetu pendwa ,haki ni tunu ya amani.

Choice variable ni muungwana sana, lakini alikunywa kipindi cha nyuma mvinyo wa udhalimu, sasa amepata uponywaji wa nafsi na mwili kwa ujumla, sio kama roboti matope Tlaahtlaah.

Lakini tuje na kauli moja kwa dunia nzima

There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization.

From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
 
Swala linalohusisha nchi kiuchumi na kisiasa sio petty issue
1765975907043.png
 
Jamaa namfahamu, siku ya 29 October kabla ya maandamano jamaa alijihimu asubuhi na mapema kwenda kupiga kura.. Baada ya kupiga kura akapitia kijiweni maeneo ya Kabwe kijiwe cha draft, sasa yuko pale na watu kadhaa wanabishana mambo ya Ccm... Baada ya dakika kadhaa maandamano yakaanza na risasi kurindima....

Jamaa akaanza kukimbia ili aende akapande hiace ili aende zake nyumbani maeneo ya Iyunga, baadae Magali yote yakawa yamepigwa block road hakuna kupita... Jamaa kuona hali ni mbaya akaenda kujificha kwenye mtaro, kumbe wajomba wamemwona hawakujua kama ni Ccm mwenzao. Wakaenda pale mtaroni wakamchapa risasi za matak.or na nyingi zilimpata kwenye pumb.ur ghafa aka REST.

Limwili lake hata halieleweki liko wapi. Hata likipatika halina umuhimu wowote ni useless tu.
 
Ni kweli amepigwa risasi, au ndo stori tu ya kufurahisha JF?
 
Najua kwa sasa, tutakuwa pamoja na kusema kauli yetu pendwa ,haki ni tunu ya amani.
Choice variable ni muungwana sana, lakini alikunywa kipindi cha nyuma mvinyo wa udhalimu, sasa amepata uponywaji wa nafsi na mwili kwa ujumla,sio kama roboti matope Tlaahtlaah.
Lakini tuje na kauli moja kwa dunia nzima
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Choice Variable mpaka sasa anashangaa kumbe CCM ndo makatili kiasi hicho wa kuchinja raia kama kuku
 
Back
Top Bottom