Cold fact kwamba baba hajamtafuta mwanawe. Angemtafuta mtoto asingekuwa anamtafuta baba. Sababu baba angetaka contact na mwanawe, hata kama angefariki angeweza kuacha wosia kwa wanawe wengine au ndugu zake kwamba nina mwanangu fulani, mama yake fulani, ndugu zake wamtafute.
There is no such thing.
Kwa nini kuji impose kwa watu wasiokutaka?
Wakisema huna lolote unatafuta urithi wa baba usiyemjua na ambaye hata hakututambulisha?
This is just fishing for awkward situations.