Ni kweli no ExposureKuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe dsm waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.
Mimi kukaa hapa dsm tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah exposure muhimu sanaNi kweli no Exposure
GUSSIE tu mkinga anakula bata Dar
Ha ha masihara hayo sijawah funga pm etikufuli tu kubwa nimekutana nalo mlangoni [emoji2][emoji2][emoji848]
Subiri nikuitie karume kenge mwenzio Mpwayungu VillageKuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe dsm waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.
Mimi kukaa hapa dsm tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia uone...serious nimekuja imefungwa😃😃
Wengine wapo dar wameolewa,hawajui ugumu wa maisha,Usiongee hivyo kaka..nilikuwepo mji huo.. niliukimbia utadhani nafukuzwa na kundi la chui... Acha kaka , jambo ukipapatia ni patsmu
Nice 😊🤗The soul is not where it lives, but where it loves.