Ukizini tu unawekewa alama usoni!

leah2

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
584
Reaction score
1,442
Nawaza tu kwa sauti, kama ingekuwa ukizini tu unawekewa alama usoni , nyuso zetu zingekuwa na alama ngapi?

Binafsi ningekuwa na alama chache sasa.

Kati ya wanaume na wanawake nani angekuwa na salama nyingi?
 
Mi nahisi ungetoa hiyo alama ukaweka kitobolewa.nahis tungekuwa tunakutana na vyandarua mtaani vikitembea.namsaidia mleta uzi kuwaza
 
Yani kuzini ni rahisi sana maana ukiwaza pia umezini,ukitamani tayari ushazini
 
Na kile kitu kingekuwa km pensil, basi kuna watu asa hiv pangekuwa flat screen!! Nawaza tu
 
na wanawake je dushe zikekuwa zinaota wengine wengelikuwa na rasta hadi kwenye unyayo
 
kwanza toka lini ukawaza kwa sauti
 
ingekuwa poa kama uume jinsi unavyotumika mara nyingi ndivyo unavyoisha kama vile ufuto wa penseli.
 
Je kama ingekuwa kabla ya kugegeda unaichonga kama penseli, wengine si wangekuwa wamechonga mpaka ufutio!!!! kwi kwi kwi kwi kwi kwi!!!
 
leah2 huyo kwenye avatar ni wewe?

Mungu aliumba.

Nawaza tu kwa sauti, kama ingekuwa ukizini tu unawekewa alama usoni , nyuso zetu zingekuwa na alama ngapi?

Binafsi ningekuwa na alama chache sasa.

Kati ya wanaume na wanawake nani angekuwa na salama nyingi?
 
Nawaza tu kwa sauti, kama ingekuwa ukizini tu unawekewa alama usoni , nyuso zetu zingekuwa na alama ngapi?

Binafsi ningekuwa na alama chache sasa.

Kati ya wanaume na wanawake nani angekuwa na salama nyingi?
Mimi nisingekuwa na ngozi... alama zingemaliza uso wote na nyingine zingehamishiwa mgongoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…