Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
.
Wewe una msongo wa mawazo mkubwa sana, unahitaji msaada mkubwa sana.
Wanawake mnatakiwa kujua hili kwamba mwanamke mmoja hatoshi kwa mwanaume, hii imethibitishwa kisayansi na kijamii.
Ukishajua hilo huna haja ya kugombana na mme wako au mpenzi wako,muombe tu akuheshimu na awaambie michepuko yake ikuheshimu.
7.chochote kinachohusu maendeleo ni wajibu wako, mi kazi yangu kufanya wajibu wangu kama mama traditionally
ukiniletea ukimwi leo kesho nasambaratisha ubongo na pisto tarehe 9/12/ ntaachiwa huru .
weeeeee nikiujua mchepuko wake nita UpASUA BALAAA
mume mtamu siwez kuridhika akiwa na mchepuko