Ukiwa unafunga novena ya mt ritha wa kashia

Ukiwa unafunga novena ya mt ritha wa kashia

Ukiwa unafunga novena ya mt ritha wa kashia

Je ni lazima kilasiku usali muda uleule kama ni sa 11 alfajiri uwe una sali sa 11 alfajiri kilasiku ??

Je ukijisahau siku nyingine ukasali sa 12 asubuh siku nyungine sa 11 asubuh je Mungu hatosikia maombi yako ?
Inafutika unaanza upya
 
Kusali unatakiwa usali kila saa unapopata nafasi ya utulivu 🤗
 
Haina shida mama mtumish sali tu

Ila jitaid uikamilishe yote kabisa

Hata kama utavuka masaa hakuna kitachoharibika

Jitaid ufunge na ukumbuke wahitaji
 
Back
Top Bottom