Ukiwa na hasira unafanyaje?

Nikikasirika sitaki kusikia sauti yoyote ile nahisi kama inaniudhi. Halafu nakumbuka wote ninaowadai na walionidhurumu changu hasira ndo zinazidi.

Hasa ukiwa mwalimu class si patachimbika?
 
ujue ukiwa na hasira zile zenyewe kuna kama kitu kipo kooni nimekubana na dawa yake ni kulia ndio walau utaona ahueni

Mim nakula sana kama mchuchu akiwa hayupoo
 
inategemea nikila kitu kitamu nikipendacho nikalala,nikiamka nakuwa mpya kabisa au nikilia nikalala pia nikiamka nakuwa mpya kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…