Ukiwa msituni.......!!!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,776
Reaction score
2,389
Ukiingia msituni, waheshimu wakazi wa huko.
Sio, mara unawashia taa.....mara unawapiga indiketa na mahoni kibao!
Wenye msitu hawataki hizoo!!

Hasa ukikutana na mzee Jumbo, mfalme aliyebaki.
 
Reactions: Bob
Dah!kama kuna watu walipona kweli,tusipende kuchoza wenye msitu
 
Huyo jamaa akome awahi sasa alikotaka kuwahi..
 
safi sana, si binadamu tu peke yake ana akili, Tembo ni wanyama wenye akili na kumbukumbu sana, na unafahamu kwanini kuna kesi nyingi sana za tembo kuvamia mashamba na kuharibu mazao?, Ukimtendea ubaya naye atakutendea ubaya hata ipite miaka mingapi,
 
Sio tembo tu wenye kumbukumbu. Sokwe huweza kuwafuata hata wenzake wakavizia na kulipa kisasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…