Ukiwa Mnafiki Utafaidi sana CCM

Ukiwa Mnafiki Utafaidi sana CCM

Basi kama ni hivyo Dr.W.Slaa ni mchawi namba moja!

Amefanyaje? We mtu sijawahi kusoma "mchango" wako ukiwa unajibu hoja hata siku moja zaidi ya kutaja majina ya watu (iwe ni kuwasifia au kuwakashifu) bila kutoa ushahidi wa sifa au kashfa zao!
 
Sio unafiki tu,pia km waweza kutesa mtu baada ya kumteka na kubambika kesi,kudhulumu na kutishia kwa bastola km Rage na yulee mjumbe wa halmashauri kuu wa ccm alouwawa na wananchi miezi kadhaa ilopita baada ya kuwadhulumu ardhi yao...chezea magamba weye!
 
unafiki,rushwa na wizi wa mali za umma ni sifa kubwa ya kupewa vyeo ccm, kwa waliopo hapa jf ukiwa mnafiki,usiyeshirikisha ubongo kufikiri kama huyu CHOO na Simiyu yao basi buk 7 itakuwa halali yako!
 
Amefanyaje? We mtu sijawahi kusoma "mchango" wako ukiwa unajibu hoja hata siku moja zaidi ya kutaja majina ya watu (iwe ni kuwasifia au kuwakashifu) bila kutoa ushahidi wa sifa au kashfa zao!

Anza kwa kusoma Post ya Elly B niliyoijibu, Acha kusukumwa na ushabiki.
 
Anza kwa kusoma Post ya Elly B niliyoijibu, Acha kusukumwa na ushabiki.

Anaetakiwa kuacha kusukumwa na ushabiki ni wewe. Nijibu hoja yangu (na umejiongezea nyingine, nipe ushahidi kuwa mimi ni mshabiki)!
 
Exactly! Hasa kama definition ya uchawi itaangaliwa kwa maana pana, ambayo haitaishia kwenye kuwanga, kuloga na kutembea uchi usiku!

Kila mtu anayesababishia wengine matatizo ni mchawi tu. Hata kama anavaa suti na amesoma. Ni mchawi tu! Kila asiyependa maendeleo ya wengine ni mchawi tu. LAKINI MTU AMBAYE ANAKWAMISHA MAENDELEO YA TAIFA, HUYU SIYO TU NI MCHAWI, ILA PIA NI MSALITI NA HAINI! Haipaswi kumwacha tu!
...salute mkuu...!!
 
Back
Top Bottom