Ukiwa Mnafiki Utafaidi sana CCM

Msigwa tangu atoe ile hotuba yake ya UDAKU jamii inamuona kama mwehu tu...

Elewa mwehu wa chadema anafaa kuliko mwehu wa ccm...wehu wa kuhujum uchumi na kusababisha maisha magumu kwa wananchi maana yake nikupokea laana kila siku iendayo kwa mungu, acha tufaidike na wehu wa chadema maana wehu wa ccm haufai hata kidogo.....jifunze na uwe na akili daima
 
Nikiri kuwa huwa siangalii vipindi vya bunge la Tanzania. Leo nimekaa mahali panapoonyeshwa kipindi cha bunge kupitia tbc (nimetumia lower case kwa kukusudia). Nilichokishuhudia NI AIBU TUPU! Hoja za maana hazijibiwi, vifungu kwenye bajeti vinapitishwa kwa "mwenyekiti" kusema "NAFIKIRI waliosema ndio wameshinda"!
Nyie ccm, are you all guys really happy and content with that circus? Is isn't even one lone head amongst your lot who can think clearly?

HAMUONI AIBU NYIE VIUMBE??? UTU WENU ULIKWENDA WAPI?
 
Bunge linahalibiwa zaidi na spika makinda, yeye haongozi kwa kufuata kanuni, yeye huongoza kwa utashi wake binafsi!
 
Bunge linahalibiwa zaidi na spika makinda, yeye haongozi kwa kufuata kanuni, yeye huongoza kwa utashi wake binafsi!

But that is INSANE! Leo nimemkumbuka marehemu Tuntemeke Sanga alietamka bungeni maneno haya: "Vizazi vijavyo vitafukua makaburi yenu viongozi wa (ccm hii) ili waone kama vichwa vyenu vilikuwa vya kawaida au vya pembetatu kutokana na maamuzi mabovu na ya ajabu mnayoyafanya leo".
 
...ukiwa ccm una 95% ya kuwa mchawii...

Exactly! Hasa kama definition ya uchawi itaangaliwa kwa maana pana, ambayo haitaishia kwenye kuwanga, kuloga na kutembea uchi usiku!

Kila mtu anayesababishia wengine matatizo ni mchawi tu. Hata kama anavaa suti na amesoma. Ni mchawi tu! Kila asiyependa maendeleo ya wengine ni mchawi tu. LAKINI MTU AMBAYE ANAKWAMISHA MAENDELEO YA TAIFA, HUYU SIYO TU NI MCHAWI, ILA PIA NI MSALITI NA HAINI! Haipaswi kumwacha tu!
 
Kelele za wakosaji!, hamna chochote mnachochangia cja maana!

Kama kinachofanyika ndiko kupata basi niendelee kukosa! U.b.w.e.g.e gani huu! I am ashamed kujulikana kuwa mimi ni Mtanzania anaetawaliwa na watu wasiokuwa hata na uwezo wa kufikiri unaolingana japo na watoto. wa miaka 5
 
Exactly! Hasa kama definition ya uchawi itaangaliwa kwa maana pana, ambayo haitaishia kwenye kuwanga, kuloga na kutembea uchi usiku!

Kila mtu anayesababishia wengine matatizo ni mchawi tu. Hata kama anavaa suti na amesoma. Ni mchawi tui! Kila asiyependa maendeleo ya wengine ni mchawi tu. LAKINI MTU AMBAYE ANAKWAMISHA MAENDELEO YA TAIFA, HUYU SIYO TU NI MCHAWI, ILA PIA NI MSALITI NA HAINI! Haipaswi kumwacha tu!
Basi kama ni hivyo Dr.W.Slaa ni mchawi namba moja!
 
Ningefurahi Nape (najua ni member humu na najua ana uwezo wa kupata ama video clip za bunge la leo au hata hansards) aje hapa ajibu kama nilichokiona leo ndicho ccm yake inakitaka.
 
Ni kweli kabisa na MACCM mengi yana sifa zote hizi, 99.9999% ya MACCM.

Exactly! Hasa kama definition ya uchawi itaangaliwa kwa maana pana, ambayo haitaishia kwenye kuwanga, kuloga na kutembea uchi usiku!

Kila mtu anayesababishia wengine matatizo ni mchawi tu. Hata kama anavaa suti na amesoma. Ni mchawi tui! Kila asiyependa maendeleo ya wengine ni mchawi tu. LAKINI MTU AMBAYE ANAKWAMISHA MAENDELEO YA TAIFA, HUYU SIYO TU NI MCHAWI, ILA PIA NI MSALITI NA HAINI! Haipaswi kumwacha tu!
 
Waongo ni hawa wanaowadanganya kuwa wanakomboa nchi kumbe wanafanya biashara ya siasa.

Hiyo ya uongo ni sifa kuu ya kiwa mwana ccm lakini kwa nyongeza lazima uwe una jua kupenyeza madawa ya kulevya ili iuwe uvccm.
 
Waongo ni hawa wanaowadanganya kuwa wanakomboa nchi kumbe wanafanya biashara ya siasa.

Bila kusahau liwa sifa nyingine kuu lazima uwe mpinga maendeleo ya wananchi na uwe mtetezi wa wala rushwwa na wezi wa kodi
 
Ukijiunga ccm akili zako zote unamkabidhi Nape na kinana wewe unabaki na box.
 
kuwa ccm kunahitaji ukabidhi ubongo wako kwa nepi na gaidi akutunzie na wewe ubaki na debe tupu!
 
...

....Leo UKAWA KAZINI !!

attachment.php
 
Back
Top Bottom