Ukiwa KIONGOZI

Ukiwa KIONGOZI

Lugano Edom

Senior Member
Joined
Dec 2, 2021
Posts
161
Reaction score
297
Ni vyema ukiwa kiongozi uache kufanya mambo kwa kurupuka maana madhara ya kufanya jambo fulani bila kupima madhara yake mwishowe kiongozi utaonekana hujui kuongoza au waweza gawa gawa gawa uwaongozao.
#naonavyemavibes #NaonavyemaStyle #LuganoEdom #asiyebadilika #hakunahasara
 
Mkuu,uandishi wako umetawaliwa na usingizi,
ungenawa kwanza japo uso ili uje tena uandike vizuri.
 
Halafu ukiwa Kiongozi lazima uwe na kifua kipana kama Bi Hadija Kopa, au Babe wangu SweetyCandy!! Uongozi hautaki watu laini laini na wenye macho ya kurembua 🙄 kama akina cocastic! Watu wanaojua kuchamba tu.
 
Ni vyema ukiwa kiongozi uache kufanya mambo kwa kurupuka maana madhara ya kufanya jambo fulani bila kupima madhara yake mwishowe kiongozi utaonekana hujui kuongoza au waweza gawa gawa gawa uwaongozao.
#naonavyemavibes #NaonavyemaStyle #LuganoEdom #asiyebadilika #hakunahasara
Viongozi wa kitaifa inatakiwa wachunge ama kutunza kauli zao

Public figures have to keep their words

Any decision you make in life you will be responsible for

Uamuzi wowote utakao ufanya maishani mwako utawajibika nao
 
Halafu ukiwa Kiongozi lazima uwe na kifua kipana kama Bi Hadija Kopa, au Babe wangu SweetyCandy!! Uongozi hautaki watu laini laini na wenye macho ya kurembua 🙄 kama akina cocastic! Watu wanaojua kuchamba tu.
Nani kakuambia mie na hadija kopa tunaendana mie natako yeye hana umeelewa kazi kushadadia wachumba za wenzako nani kakuambia sina mAcho ya kurembua
 
Vitu vilivyonizima simpendi tena Samia .
1. Alianza kubinafsisha bandari kwa waarabu wachafu kabisa wezi .
2. Kuwahamisha wanasai kuwapeleka handeni
3. Kuwapiga watu hawana hatia , eti wasiende mahakamani kisikiliza kesi ya tundu lissu . Mie hapo Samia kanizima moyo wangu
 
Halafu ukiwa Kiongozi lazima uwe na kifua kipana kama Bi Hadija Kopa, au Babe wangu SweetyCandy!! Uongozi hautaki watu laini laini na wenye macho ya kurembua 🙄 kama akina cocastic! Watu wanaojua kuchamba tu.
Cha ajabu sasa, level zote za Elimu nilizopita nilikua kiongozi. Isipokua Chuo tyuuh.

Uongozi nauweza na kuumudu.
 
Back
Top Bottom