Ukivuta sigara hadharani Zanzibar kukiona

Ukivuta sigara hadharani Zanzibar kukiona

..badala ya kupiga marufuku uvutaji wa fegi hadharani kwanini wasiweke ile kodi ya wavutaji kama huko misri na uarabuni inayoitwa "kodi ya dhambi"...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi kwa upuuzi kama wako haiwezi kuendelea...
Mimi nimekujibu kwa fact.
Na wewe basi niprove wrong kama matumizi ya sigara hadharani hayana madhara ili tuelewane...
Tatizo lako ni kuwa kila mtu anayekubaliana na tamko la serikali ni uvccm..mimi naagalia faida ya tamko na hasara sio kama wewe huna fact lakini unachokijua ni kubisha vitu ambavyo hata huvijui.

Sent from my SHV-E330L using JamiiForums mobile app
ninachofaham n kuwa vroba vimezuiwa ama waliweka store ili wanywe miaka kadhaa ijayo.

hlo ndio tatzo la watu wa viroba na bora vimezuiwa maana hali ilikuwa mbaya sana.

mtu unatoa fact alaf mtu anakuja na hoja za za uislam na u ccm huo n ujinga wa kiwango cha lami

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakafee mbele huko na
Uislam wao tukivuta kwan
Inaingia kwenye mapavu yao
Stupid![emoji15] [emoji15]

[Color= yellow]Triple A[/color]
Ndio, inaingia...haya ndio maswala ya kukatazwa sio kula hadharani Ramadhani
 
Back
Top Bottom