Utakosa kazi wewe. Ina maana ukipata kazi hapo, siku ukitaka kutoka unaweza kuwafanyia hayo hayo.Wambie immediately I'm called upon
niliulizwa yote mawili na mpaka sasa zimekwishapita siku 4 na bado sijapigiwa simu.Kama ni fresh from school waambie as soon as possible.kama unafanya kazi mahali waambie after 2-4 weeks.
Mara nyingi ukiulizwa swali kama hilo pamoja na lile la salary expectation huwa ni dalili njema kuwa kuna uwezekano panelists wamevutiwa na wewe hivyo uwezekano wa kupata hyo kazi ni mkubwa.
Exactly kuwa mwepesi kusema immediately inaleta picha mbaya, hata wakikuchukua, siku ukipata kazi sehemu nyingine ndivyo utakavyoondoka within 24 hrs, kutokuwa na ajira haimaanishi hukuwa na ratiba zako na mambo yakoUtakosa kazi wewe. Ina maana ukipata kazi hapo, siku ukitaka kutoka unaweza kuwafanyia hayo hayo.
Swali hili linategemea kama kwa wakati huo unafanya kazi kwingine na majukumu yako yapoje kule. Unaweza kuwaambia kwamba kwa sasa unafanya kazi sehemu na utahitaji kuwapa notice wale kule na pia kufanya smooth handover. Notice period can be 3 to 6 weeks. Mnaweza sasa kunegotiate hapo depending on how desperare wanataka uanze nao kazi
Hapo sijuiso lengo la kuniulizahivyo huwa ni nini mkuu,sio kwamba ndo nimepewa kazi au?
Kuulizwa hilo swali ni wanataka kujua availability yako,wanaweza kukuchukua au wasikuchukue piaso lengo la kuniulizahivyo huwa ni nini mkuu,sio kwamba ndo nimepewa kazi au?
wakuu kwa mfano mwisho wa interview wanakuuliza when will you be available to start the job?
hapa unajibuje halafu wanakua na maana gani kukuuliza hilo swali kwamba ndo umepata hiyo kazi au?