Ukitumiwa hela toa shukrani, kujikausha kunakera

Ukitumiwa hela toa shukrani, kujikausha kunakera

Kwema?

Unakuta una mpenzi, rafiki au ndugu wa familia, amekwama, mfano vocha, gas imekata, na mikwamo mingine inayofanana na hiyo,

Kiroho safi unaingia mfukoni, unaenda kwa wakala unamtumia, baada ya kumtumia hata kusema nimeiona au ahsante hakuna, hii kitu huwa Ina kata sana,

Ni kweli unapotenda lililojema yakupasa usisubiri shukrani lakini ukirudi kwenye uhalisia wa kibinadamu kuna faraja mtu anaipata unaposhukuru,

Hata siku nyingine ukikwama tena mtu anakuwa na moyo mkunjufu kukuwezesha.

Kwaheri.
binafsi sihitaji shukurani ila huwa nakerwa na tabia ya mtu kutokutoa mrejesho kama amepokea au la, ukitumiwa pesa jibu tu Imefika Sio mpaka upigiwe simu kuulizwa
 
Kwema?

Unakuta una mpenzi, rafiki au ndugu wa familia, amekwama, mfano vocha, gas imekata, na mikwamo mingine inayofanana na hiyo,

Kiroho safi unaingia mfukoni, unaenda kwa wakala unamtumia, baada ya kumtumia hata kusema nimeiona au ahsante hakuna, hii kitu huwa Ina kata sana,

Ni kweli unapotenda lililojema yakupasa usisubiri shukrani lakini ukirudi kwenye uhalisia wa kibinadamu kuna faraja mtu anaipata unaposhukuru,

Hata siku nyingine ukikwama tena mtu anakuwa na moyo mkunjufu kukuwezesha.

Kwaheri.
Huyo atakuwa Msukuma bila shaka.
 
kawaida hii, kuna dogo huwa namcheki mwisho wa mwezi nimtumie pocket money ila nikishamtumia anajikausha, mi huwa nadhani pesa haijafika inabidi nimuulize
Ona sasa,,,,, yaani unajiona mjinga,,,, sema ndiyo hivyo tena unakuta ni ndugu au kama mpenzi ndiyo ushazama
 
Ujue nini!
Huwa wanaomba kwa watu wengi, so ukimtumia kwa wakala hajui nani katuma kati ya aliowapiga mizinga.

Ila ukiona umemtumia mtu kwa namba yako na hakupi mrejesho, hiyo ni tatizo nyingine.
Niliwahi kuwaza hivi pia,,,, hii ipo kwa tulionao kwenye mahusiano
 
Back
Top Bottom