Ukitumia ID feki usiweke signature yako

Duh, yamekuwa haya tena? kwa kosa lipi nililokukosea mpaka unitukanae namna hii? natumai wahusika wanakusoma.

Na wewe endelea na kubaki na sura nzuri kama binaadam uliyeumbwa ukaumbika na ukafikia kuwa "Super Handsome".

Mkuu mbonyezee kile kidude kinaitwa report abuse
 
Hahaa eti super handsome!nina mashaka hawa ni wale wanaume wanaojisifiaga kupaka poda na llipshine na kujiita baby boy:..

Back
Top Bottom